saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,400
- 6,414
Labda kakuachia wewe zumbukuku. Hata haya huna?Kaacha vitu vinaonekana
Labda kakuachia wewe zumbukuku. Hata haya huna?Kaacha vitu vinaonekana
π π π π π π π π π πNimejaribu kutafuta watu walioitwa mafisadi, wezi na wapiga Dili walioitwa mbaroni na kuhukumiwa na ile waliita Mahakama ya mafisadi sijaona hata mmja.
Mataga na waimba Pambio wa Mwendazake naomba mnitakie mafisadi mliowatia mbaroni awamu yenu kwa sababu naona kama tulipogwa na kudanganywa kama Watoto wadogo.
Naongea haya kwa sababu aoka awamu ya 6 imeingia madarakani mafisadi ambao imewahukimu walikuwa ni wale waliiba pesa awamu ya 5 ila waliachwa na Jiwe na wapambe wake.
Mifano ya hai ni aliyekuwa DED WA Arusha Dr Pima, Sabaya mdogo Watumishi mbalimbali na sasa Kigogo wa Udart.
===
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka 15 yakiwamo kuisababishia UDART hasara ya Sh. milioni 750, kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha haramu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kughushi.
Katika shtaka la kuongoza genge la uhalifu, washtakiwa wanadaiwa katika nyakati tofauti kati ya Mei 25 na Julai 10, 2016 katika maeneo tofauti Dar es Salaam, waliongoza genge la uhalifu na kujipatia Sh. milioni 750 kutoka akaunti ya UDART, Benki ya NMB Tawi la Bank House.
Washtakiwa hao pia walikuwa wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kughushi, mawili ya kuwasilisha nyaraka za uongo na mashtaka tisa ya utakatishaji fedha haramu.
Nipashe
====
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kuwashughulikia mafisadi waliolelewa na awamu ya 5 Kwa vitendo.
Huna macho kwaniLabda kakuachia wewe zumbukuku. Hata haya huna?
Mataga walituimbia rede πππ π π π π π π π π π
Usihamishe magoli nitajie orodha ya mafisadi maana mlikuwa mnasomba pesa huku mnamsifia JiweAlikuwa anashika mkasi wa mafile muulize
Sasa zile kelele za Jiwe xililenga nini hasa?Sheria zetu ni butu kwa mafisadi
Miaka 5 ilikuwa inamsibiria kiximkazi?Kazimkazi kawarudisha uraiani
Lakini bado kamba zitaendelea tu isipokuwa kwa wale vidagaa ambavyo havina influence ya kutosha !!Nimejaribu kutafuta watu walioitwa mafisadi, wezi na wapiga Dili walioitwa mbaroni na kuhukumiwa na ile waliita Mahakama ya mafisadi sijaona hata mmja.
Mataga na waimba Pambio wa Mwendazake naomba mnitakie mafisadi mliowatia mbaroni awamu yenu kwa sababu naona kama tulipogwa na kudanganywa kama Watoto wadogo.
Naongea haya kwa sababu aoka awamu ya 6 imeingia madarakani mafisadi ambao imewahukimu walikuwa ni wale waliiba pesa awamu ya 5 ila waliachwa na Jiwe na wapambe wake.
Mifano ya hai ni aliyekuwa DED WA Arusha Dr Pima, Sabaya mdogo Watumishi mbalimbali na sasa Kigogo wa Udart.
===
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka 15 yakiwamo kuisababishia UDART hasara ya Sh. milioni 750, kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha haramu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kughushi.
Katika shtaka la kuongoza genge la uhalifu, washtakiwa wanadaiwa katika nyakati tofauti kati ya Mei 25 na Julai 10, 2016 katika maeneo tofauti Dar es Salaam, waliongoza genge la uhalifu na kujipatia Sh. milioni 750 kutoka akaunti ya UDART, Benki ya NMB Tawi la Bank House.
Washtakiwa hao pia walikuwa wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kughushi, mawili ya kuwasilisha nyaraka za uongo na mashtaka tisa ya utakatishaji fedha haramu.
Nipashe
====
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kuwashughulikia mafisadi waliolelewa na awamu ya 5 Kwa vitendo.
Bora hata mama tumesikia vigogo wakipanda kizimbani.Kwa Jiwe ukimsikia nani amehukumiwa?Lakini bado kamba zitaendelea tu isipokuwa kwa wale vidagaa ambavyo havina influence ya kutosha !!
Hii ilikuwepo kabla ya awamu ya Jiwe na itaendelea kuwepo kwa muda mrefu ujao !
Muarobaini utapatikana ikipatikana Katiba mpya bora !! Ambayo nayo upatikanaji wake mpaka sasa bado ni Songombingo !!
Mkuu alikufaa wewe! Yule alikuwa Mbakaji, mporaji wa wake za watu, fisadi, muuaji na kichaa! Hana cha kusagiwa zaidi ya tabia yake mwenyewe!!!Unajua Nashangaa Hawa Wahuni Wanapata Wapi Ujasiri Wakumsagia Kunguni Mzilankende Ili Anuke
Yule Baba Alitufaa Sana Tanzania Na Alifanya Kazi Chap Chap
Kwahiyo waliojua dhalimu ni mshamba ndio nyie chawa wake mlisema ni mafisadi? Kwahiyo ile mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa na dhalimu magu haikufanya kazi, Bali nyie sukuma gang ndio mkageuka mahakama?kikwete
Nape
Ridhiwani
Rugemarilla
kinana mwizi wa meno ya tembo
Harbinger Seth
Yusufu Manji
yote haya majizi yanazima umeme yauze majenereta yalihukumiwa na mahakama ya wananchi na yalifulia Sana ngoja tena yaje tuyaadhibu 2025 yarudi utumwani
Wahuni wote wamerejea kwenye nafasi zao walizokuwa hapo awali,Kazimkazi kawarudisha uraiani
Haa Kwahiyo Alitukosea Mno YuleMkuu alikufaa wewe! Yule alikuwa Mbakaji, mporaji wa wake za watu, fisadi, muuaji na kichaa! Hana cha kusagiwa zaidi ya tabia yake mwenyewe!!!
Kwakweli ! πBora hata mama tumesikia vigogo wakipanda kizimbani.Kwa Jiwe ukimsikia nani amehukumiwa?
Etii ??!!Usihamishe magoli nitajie orodha ya mafisadi maana mlikuwa mnasomba pesa huku mnamsifia Jiwe View attachment 2852436View attachment 2852437