Dar: 6 Washtakiwa kwa kuongoza genge la Uhalifu, Udanganyifu na Utakatishaji Fedha

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Mei 11, 2023 watuhumiwa 6 kati 9 wameshtakiwa kwa makosa ya kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kuongoza genge la uhalifu na utakatishaji fedha haramu.

Washtakiwa hawa wamefunguliwa mashtaka kupitia kesi Na 11/2023 mbele ya Mhe. Hakimu Urio wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Washtakiwa wamewekwa rumande katika gereza la Segerea kufuatia kuwako kwa makosa ambayo hayana dhamana.

Uchunguzi unaendelea kufanyika ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watuhumiwa wengine 2 pamoja na mali zao.

Inadaiwa kuwa katika kipindi cha Sept 2022 washtakiwa kwa kutumia Kampuni ya Steca Export Co. Ltd, walifanya biashara ya kuuza Madini ya Copper yenye thamani ya sh. 1.6 Bilion kwa Kampuni ya Zhejiang Afol ya nchini China.

Kwamba washtakiwa walisafirisha chupa tupu za vinywaji (wine beverages bottled) badala ya Madini ya Copper, waliyomuuzia mlalamikaji kupitia Clearing Agent ya Mwikolo Logistic & Globvest Group Ltd.

Imethibitika kwamba chupa tupu zilisafirishwa kwa makontena 5 kwenda China kupitia wakala wa meli MAERSK.

Chanzo: TAKUKURU
 
misheni kama hizi hua nazipenda sana sijui kwa nini ?🤔

kwa hio Mchina alinunua madini bila hata kuoneshwa picha ?

hapo Wakubwa wataomba chao Mchina anapigwa chini maisha yanasonga.

Mchina aandike maumivu hapo cha msingi alipokea mzigo imeisha hio

akili mtu wangu
 
Attachments

  • A794E554-BFC1-44CE-A7CA-F07452CF689E.jpeg
    A794E554-BFC1-44CE-A7CA-F07452CF689E.jpeg
    75.9 KB · Views: 10
misheni kama hizi hua nazipenda sana sijui kwa nini ?🤔

kwa hio Mchina alinunua madini bila hata kuoneshwa picha ?

hapo Wakubwa wataomba chao Mchina anapigwa chini maisha yatasonga.

akili mtu wangu
 
Dah! Hapo lazima utakutana na Mapapaa kibao tu wa mjini kwenye hilo sakata.
 
misheni kama hizi hua nazipenda sana sijui kwa nini ?

kwa hio Mchina alinunua madini bila hata kuoneshwa picha ?

hapo Wakubwa wataomba chao Mchina anapigwa chini maisha yanasonga.

Mchina aandike maumivu hapo cha msingi alipokea mzigo imeisha hio

akili mtu wangu
Watu noma, unakuta washiafanya biznes nyingi na hao wachina hadi wakajijengea uaminifu... halafu mwishoni mchina akaingizwa kingi kwenye hili dili la madini
 
😄😄😄 Wabongo sio wa kuwapa dhamana kabisa
Watu noma, unakuta washiafanya biznes nyingi na hao wachina hadi wakajijengea uaminifu... halafu mwishoni mchina akaingizwa kingi kwenye hili dili la madini
 
Mei 11, 2023 watuhumiwa 6 kati 9 wameshtakiwa kwa makosa ya kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kuongoza genge la uhalifu na utakatishaji fedha haramu.

Washtakiwa hawa wamefunguliwa mashtaka kupitia kesi Na 11/2023 mbele ya Mhe. Hakimu Urio wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Washtakiwa wamewekwa rumande katika gereza la Segerea kufuatia kuwako kwa makosa ambayo hayana dhamana.

Uchunguzi unaendelea kufanyika ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watuhumiwa wengine 2 pamoja na mali zao.

Inadaiwa kuwa katika kipindi cha Sept 2022 washtakiwa kwa kutumia Kampuni ya Steca Export Co. Ltd, walifanya biashara ya kuuza Madini ya Copper yenye thamani ya sh. 1.6 Bilion kwa Kampuni ya Zhejiang Afol ya nchini China.

Kwamba washtakiwa walisafirisha chupa tupu za vinywaji (wine beverages bottled) badala ya Madini ya Copper, waliyomuuzia mlalamikaji kupitia Clearing Agent ya Mwikolo Logistic & Globvest Group Ltd.

Imethibitika kwamba chupa tupu zilisafirishwa kwa makontena 5 kwenda China kupitia wakala wa meli MAERSK.

Chanzo: TAKUKURU
TBS wao kwani wanasemaje!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom