Mwenye neno lolote tupia hapa kuniponya

Mwenye neno lolote tupia hapa kuniponya

Pole Sana ,

Unapitia changamoto gani kutokana na tatizo lako usikivu hafifu ?

Kukosa Kazi ?
Kutengwa na ndugu na marafiki?

Je , umewahi kufikiria kuanzisha WhatsApp groups then ukawatafuta watu wenye the same situation Kama yako mkawa mnabadilisha mawazo na kupeana mbinu za Ku-handle the situation/problem.

Tatizo la usikivu ni tatizo la kawaida Ila , linataonekana kubwa kubwa Kama ukifanyiwa bullying .

Nawaza Kama utaibadilisha hii changamoto iwe fursa .

Fanya hivi watafute watu wenye shida Kama yako

Then fungueni groups lenu muwe mnapeanza experience na njia mbalimbali za kuishi au kuishinda hii changamoto

HOV .
Kukosa kazi na upweke mkubwa ndio changamoto kubwa.
 
Pole , Sana

Waweza Fanya hivi fungua thread then muunde group la WhatsApp
Watu wote wenye changamoto Kama yako mkutane.

Kama wewe ni KE itapendeza uanzishe mahusiano na MTU mwenye uelewa na hii changamoto

As well Kama ni ME do the same.
Asante mkuu
 
Mkuu

Mimi sikupi pole kwa sababu naamini nature/Mungu alikufanya uwe hivyo ili utafute "your why (purpose)".

Wacha Tupige stori zenye kujengana,mkuu.

Kama unahisi upweke uliopitiliza kwa kukosa kampani na kukosa kazi za kufanya kama ulivyosema,jaribu kujifunza kazi za mikono ili uweze kuwa bize na Kazi,lakini pia utapata Hela.

Nikupe Mfano,

Mimi pamoja na kuwa nafanya kazi yangu
ila pia ni fundi mzuri wa viatu,mabegi na zipu. Lakini pia najua kutengeneza fagio za kienyeji za kufagia uwanja(chelewa). Nilijifunza kipindi nipo chalii miaka hiyo.

Hii kazi ukipata kijiwe Ina Hela na unapata marafiki wengi sana na inaondoa upweke kama utaipenda.

Pale Tegeta Kuna jamaa mmoja fundi wa hizi kazi na anapiga hela vizuri sana,ndugu.

Nakumbuka Kuna msanii mmoja mkubwa wa bongo flavor alikuwa na viatu vingi sana ndani ambavyo vibovu alikuwa anaviweka tu anasema anaogopa kuchafua Brand vikishonwa. Akashauriwa ampelekee huyu jamaa wa Tegeta fundi viatu.

Mwamba alivishona kwa kuficha Uzi na viatu vikarudi kwenye ubora wa hali ya juu na hadi sasa jamaa ni mteja wake.

Mkuu,

ili kui-beat hali ya upweke ni kufanya kazi za mikono zenye kukuingizia kipato,hayo magroup ya Whatsapp waliyokushauri huko juu yataleta maana endapo utakuwa unapata na vijihela sehemu wakati huo huo utapata marafiki kijiweni.

Watu wenye disabilities kama wewe wanakuwa na vipaji unique kwa sababu mkifanya jambo mnajua kufocuss. Find your talent then monetize.

Kama unapumua Kukata tamaa ni mwiko,mkuu.
 
Umenikumbusha member mpauko. Alikuwa na matatizo kama yako lakini mwisho wa siku alijiua. Kumbukumbu yake hadi leo inaniumiza

Natumai tu, hutoamini kuwa dunia ni nyepesi kwa walio na utimilifu ambao wewe umepungukiwa. Amini kila mmoja ana mitihani na changamoto zake. Nawe hilo ni lako, likubali, ishi nalo na uvae ngozi ya chui ili uweze kupambana mkuu

Sio rahisi ila bado ni muhimu kufanya kwa sababu hauna option ingine mkuu
 
Well noted mkuu!
 
Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.

Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.

Ninamengi ya kusema lakini sikuja hapa kujieleza matatizo nitajaza saver za jf. Leo ndugu zangu ninauhitaji mkubwa wa neno lako la faraja hata likiwa na herufi nne.
pole sana na Usikate tamaa kwa Mungu kila kitu kinawwezekana...ni swala la muda tu.
 
Umenikumbusha member mpauko. Alikuwa na matatizo kama yako lakini mwisho wa siku alijiua. Kumbukumbu yake hadi leo inaniumiza

Natumai tu, hutoamini kuwa dunia ni nyepesi kwa walio na utimilifu ambao wewe umepungukiwa. Amini kila mmoja ana mitihani na changamoto zake. Nawe hilo ni lako, likubali, ishi nalo na uvae ngozi ya chui ili uweze kupambana mkuu

Sio rahisi ila bado ni muhimu kufanya kwa sababu hauna option ingine mkuu
For healing purpose hukupaswa kuandika hii comment.

Huyu jamaa anapitia situation ngumu kama huyo uliyemtaja. Huyu utamtengenezea hisia za kujiona wa kujiua kama Mpauko of which is not good.

Lengo ni kutafuta solution siyo kumuwekea mirror ili ajione hivi ulivyoandika,boss.

Moderator atusaidiw kuondoa hii comment na quote yangu pia.

Ni ushauri tu,mkuu.
 
Ametoa tu mfano....ni sawa na kusema kwa mvuta sigara (sigara inaua ilimuua mzee fulani) so kusisitiza kuchukua taadhari zaidi
 
Pole Sana ,

Unapitia changamoto gani kutokana na tatizo lako usikivu hafifu ?

Kukosa Kazi ?
Kutengwa na ndugu na marafiki?

Je , umewahi kufikiria kuanzisha WhatsApp groups then ukawatafuta watu wenye the same situation Kama yako mkawa mnabadilisha mawazo na kupeana mbinu za Ku-handle the situation/problem.

Tatizo la usikivu ni tatizo la kawaida Ila , linataonekana kubwa kubwa Kama ukifanyiwa bullying .

Nawaza Kama utaibadilisha hii changamoto iwe fursa .

Fanya hivi watafute watu wenye shida Kama yako

Then fungueni groups lenu muwe mnapeanza experience na njia mbalimbali za kuishi au kuishinda hii changamoto

HOV .
Wazo zuri sana, kwa sasa mimi nafanya utafiti wa kutafuta suluhisho na kuongeza ufahamu kuhusu hili tatizo. Na pia natengeneza hearing aid kwa research tuh, mimi ni biomedical engineer.

Matatizo ya masikio kwangu yameanza tangu nikiwa mchanga na hili tatizo nimeishi nalo miaka mingi sasa
 
Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.

Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila nafuu, katika ukuaji wangu nilikuwa na marafiki wengi tu lakini mpaka sasa Sina rafiki hata mmoja zaidi ya hapa jf. Niliwapoteza baada ya kupata tatizo la usikivu.

Ninamengi ya kusema lakini sikuja hapa kujieleza matatizo nitajaza saver za jf. Leo ndugu zangu ninauhitaji mkubwa wa neno lako la faraja hata likiwa na herufi nne.
Hakuna kitu sijali kama kupoteza marafiki au watu,no permanent friends no permanent enemies
 
For healing purpose hukupaswa kuandika hii comment.

Huyu jamaa anapitia situation ngumu kama huyo uliyemtaja. Huyu utamtengenezea hisia za kujiona wa kujiua kama Mpauko of which is not good.

Lengo ni kutafuta solution siyo kumuwekea mirror ili ajione hivi ulivyoandika,boss.

Moderator atusaidiw kuondoa hii comment na quote yangu pia.

Ni ushauri tu,mkuu.
Unadhani watu wanafikia hatua ya kujiua kwa sababu ya influence?...

Na unadhani mimi kuandika itampa hiyo option kama bado anaona thamani ya maisha yake. Are you sure kwamba hajawahi pata mawazo ya kujimaliza?..

Unadhani niliandika kuhusu mpauko kwa sababu nataka yeye ajione ndani yake. Ama Unajua ni kiasi gani jamaa alikuwa bullied humu kwa kuongea openly kuwa anataka kujiua.. Sadly, alipofika hatua ya kujimaliza. Watu ndio wanashtuka..

Ulielewa context ya nilichokiandika baada ya kutoa reference, sio kwake yeye pekee bali na kwa members. wengine wanaosoma kuchukulia suala hili kwa uzito.

Hata hivyo, nimepokea ulichokisema.. Mungu anisamehe kama comment yangu itageuka kuwa ulichokisema. Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom