Alikuwaje?Mkuu huyu alikiwa RTO kinondoni akashushwa cheo sasa yupo temeke kama sijakosea,huyo ukitaka habari zake mtafute dereva daladala yoyote atakupa.
Duuuh mkuu hii hatari yaan mtu ana sifa mbaya kiasi kwamba ukitaka kujua ubaya wake wakaulizwe makondakta Daaah sina hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alikuwaje?
Huyu jamaa alimalizaga kabisa tabia za madereva wale walio kuwa wana tanua!! Nilikiwa na rafiki yangu Ana subaru alitanuwa apo moroko akamlaza ndani!!Alikuwaje?
Ndo jamaa angetujuza japo kidogo atumegeeDuuuh mkuu hii hatari yaan mtu ana sifa mbaya kiasi kwamba ukitaka kujua ubaya wake wakaulizwe makondakta Daaah sina hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe alikuwa mwadilifu, kumbe Yale maneno nayosikia alikuwa ananyanyasa watu ni uongo? kwanini alishuka cheo sasa ebu mega ubuyu kidogoHuyu hahamaa alimalizaga kabisa tabia za madereva wale walio kuwa wana tanua!! Nilikiwa na rafiki yangu Ana subaru alitanuwa apo moroko akamlaza ndani!!
Alikuwa haongeki sanaaaa! Alikuwa sawa sawa Afande Swai alimalizaga vinaka wote kinondoni!
Konda na dereva dala dala kwa asikari anaye fanya kazi yake inavyo takiwa hawawezi mpenda! alikamatwa jamaa yangu alitanua tuka mwambia sikari mmoja atufanyie mpango jamaa atoke akasema kama ni kesi ipo kwa Awadhi kamtoleyeni mahakamani!!!!Duuuh mkuu hii hatari yaan mtu ana sifa mbaya kiasi kwamba ukitaka kujua ubaya wake wakaulizwe makondakta Daaah sina hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo kosa lake ni kusimamia sheria ipasavyo? au kosa lake ni lipi hapo?ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa
Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani
Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga
Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua
Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo ‘
Me simjuwi wala sura yake siijuwi Ila kumbu kumbu zangu kwake alikamatwa jamaa yangu alitanua apo moroco nikaongea na asikari mmoja afanye mpango jamaa atoke akatwambia kama ni Awadhi kamkamata tukamtoleye mahakamani tusiangaike!Kumbe alikuwa mwadilifu, kumbe Yale maneno nayosikia alikuwa ananyanyasa watu ni uongo? kwanini alishuka cheo sasa ebu mega ubuyu kidogo
Kwahiyo kosa lake ni kusimamia sheria ipasavyo? au kosa lake ni lipi hapo?
ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa
Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani
Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga
Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua
Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo
Sie tusiopenda Sheria tunamchukia sana kwa kuwa kawaida yetu ni kufanya vurugu barabaran halafu ukikamatwa unampa simu aongee na Bosi wake alikuwa anakataa anasema kwanza akukatie ile fine then ndio anapokea simu
Sasa hivi Kinondon inapumua na hata Makusanyo sio kama zaman ‘
Ndio hapo sasa maana sio kwa kumuogopa hukoNdo jamaa angetujuza japo kidogo atumegee
Sasa uongozi wa wanyonge mbona umemshusha cheo?
Kweli kabisa mkuu alimkamata jamaa yangu tulimpa asikari mmoja cash amtowe akasema kwa Awadhi tukamtoleye mahakamani hapokei pesa yupo Afande mmoja pia alikuwa anaitwa Swai aliwahi kukamata jamaa yetu akagoma pesa kabisa!ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa
Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani
Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga
Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua
Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo
Sie tusiopenda Sheria tunamchukia sana kwa kuwa kawaida yetu ni kufanya vurugu barabaran halafu ukikamatwa unampa simu aongee na Bosi wake alikuwa anakataa anasema kwanza akukatie ile fine then ndio anapokea simu
Sasa hivi Kinondon inapumua na hata Makusanyo sio kama zaman ‘
Hakuna serekali ya wanyonge mkuu!Sasa serikali ya wanyonge mbona imemshusha cheo?
Hakuna serekali ya wanyonge mkuu!