Mwenye kujua sifa na matukio ya uongozi wake afande Awadhi Anijuze. Ni yule aliyekuwa RPC Kinondoni

AWADHI, KAJENGA GOROFA LAKE HUKU BOKO, ALIKUWA AKIWA ANARUDI TOKA KAZINI, ANASIMAMISHA GARI ZOTE HADI APITE YEYE TUNASUBIRI,
SIKU MOJA BODA BODA AKAKATIZA KABLA YAKE PALE MAGENGENI, AKAMKAMATA, YULE BODA AKAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA, AWADHI ALINYANYUA BUTI AKAMPIGA KICHWANI YULE BODA HADI HELEMENT IKAPASUKA,
uliza bodaboda yoyote hapa MAGENGENI story hiyo wanamjua,
alikuwa akikaa kwake gorofani anawapiga picha BODA wote wasofaa helement halafu anawasaka mmoja mmoja
Siunaona sasa hivi boda boda hawafuati Sharia!
 
Me simjuwi wala sura yake siijuwi Ila kumbu kumbu zangu kwake alikamatwa jamaa yangu alitanua apo moroco nikaongea na asikari mmoja afanye mpango jamaa atoke akatwambia kama ni Awadhi kamkamata tukamtoleye mahakamani tusiangaike!
Mkuu asante kwa mchango wako kwenye mada hii

NJE YA MADA

mkuu una uandishi mbovu Sana Kama vile mwanafunzi wa darasa la tatu
 
Kweli kabisa mkuu alimkamata jamaa yangu tulimpa asikari mmoja cash amtowe akasema kwa Awadhi tukamtoleye mahakamani hapokei pesa yupo Afande mmoja pia alikuwa anaitwa Swai aliwahi kukamata jamaa yetu akagoma pesa kabisa!
Sasa kumbe alikuwa asikali mzuri au mbaya?
 
AWADHI, KAJENGA GOROFA LAKE HUKU BOKO, ALIKUWA AKIWA ANARUDI TOKA KAZINI, ANASIMAMISHA GARI ZOTE HADI APITE YEYE TUNASUBIRI,
SIKU MOJA BODA BODA AKAKATIZA KABLA YAKE PALE MAGENGENI, AKAMKAMATA, YULE BODA AKAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA, AWADHI ALINYANYUA BUTI AKAMPIGA KICHWANI YULE BODA HADI HELEMENT IKAPASUKA,
uliza bodaboda yoyote hapa MAGENGENI story hiyo wanamjua,
alikuwa akikaa kwake gorofani anawapiga picha BODA wote wasofaa helement halafu anawasaka mmoja mmoja

Kumbe ana ghorofa eeh basi kumbe 'MAGU ' anawalipa vizuri sana
 
Nipo la kwanza sio la tatu! Pia sijuwi kama lipo kwenye terms za forum!
Fanya uongeze juhudi ili ukifika la tatu uwe na uwezo wa kuandika vizuri sio lazima Sana ukamaliza darasa la Saba hata darasa la tatu tu linatosha
 
Huyu afande hafai alikuwa anapewa kiburi na yule igp ambaye kwa sasa ni balozi nchi fulani wote wametoka mkoa mmoja,alikuwa akikukamata hapokei rushwa za barabarani, yaani dau dogo hivyo anakulaza ndani halafu anakwenda kula dili na mahakimu huko hutoki bila laki kadhaa alikuwa na tabia chafu ya kuwaruhusu askari wachini yake anayeongoza magari kuruhusu magari yatanue halafu utamkuta mbele anachukua funguo za magari yotee kisha anawalaza ndani chanzo cha kupangiwa kazi nyingine ni kuna siku alikamata waandishi wa magogoni akawalaza kituo cha polisi kawe kwa kosa la kutanua wakati kuna askari alikuwa ameruhusu wale waandishi hawakujitambulisha bali waliwasiliana na wakubwa wao siku hizi yuko anapanga mafaili Temeke
 
Huyu afande hafai alikuwa akikukamata hapokei rushwa za barabarani, yaani dau dogo hivyo anakulaza ndani halafu anakwenda kula dili na mahakimu huko hutoki bila laki kadhaa alikuwa na tabia chafu ya kuwaruhusu askari wachini yake anayeongoza magari kuruhusu magari yatanue halafu utamkuta mbele anachukua funguo za magari yotee kisha anawalaza ndani chanzo cha kishushwa cheo alikamata waandishi wa magogoni akawalaza kituo cha polisi kawe kwa kosa la kutanua wakati kuna askari alikuwa ameruhusu siku hizi yuko anapanga mafaili kilwa road
Mkuu ni kweli kbc jamaa sio kwamba ni muadilifu tatizo lake hapokei rushwa ndogo akikukamata jua bila laki hujatoka,yule mrangi kajipanga sana kwanyumba tu anazo za kutosha
 
Sasa kwani kuna watu wapo juu ya sheria wengine wapo chini? Mbona sioni kama alikosea kusimamia sheria kwa wote?
 
Mkuu ni kweli kbc jamaa sio kwamba ni muadilifu tatizo lake hapokei rushwa ndogo akikukamata jua bila laki hujatoka,yule mrangi kajipanga sana kwanyumba tu anazo za kutosha
Sasa rushwa ndogo za nn? Hiyo rushwa kubwa aliwahi kupokea nani anaushahidi?
 
Aisee kiswahili ulifeli nn

Back
Top Bottom