Mwenye kujua sifa na matukio ya uongozi wake afande Awadhi Anijuze. Ni yule aliyekuwa RPC Kinondoni

Alikuwa anapiga watu mangumi na mateke kuna siku alimpiga baba mmoja ambaye baadae alijitambulisha kama jei wii kilichokiri Mungu anajua askari mwenye maadili alikuwa anaitwa Kimti tu huyu alivuma sana miaka ya tisini mwishoni
Ooooohhhh
 
Mliowahi kuwa karibu au kuhudumiwa kikazi na afande Awadhi, sifa zake zikoje?

weledi wake ukoje? ni matukio gani mazuri au baya aliyafanya katika uongozi wake?

Karibuni tujuzane zaidi kuhusu Awadhi!
Ni yule alikuwa RTO kinondoni
alikuwa mla rushwa tu,, alishakamata gar yetu daladala mwaka 2017.aliing'oa na number plat ilhali gari ilikuwa mpya bado, huku na huku alimtoa anko efu hamsini gari ndio ikaachiwa, uyo Awadhi alikuwa muonevu hadi Kwa askari wenzie ,ilikuwa Kwa siku anawaweka lockup askari trafiki hadi sita pale lockup osterbay,

Mwaka 2016 mwezi march aliwaweka lockup askari wawili ambao walikuwa mahakamani pale kinondoni Kwa kosa la kipuuzi,walikaa ndani almost Week mbili, Awadhi alikuwa kibri, alishakamata gari ya Mke wa Waziri Maige mwaka juzi akayarusha hadi mtandaoni mabishano yake yeye na Mke wa Waziri ili tu kimvunjia heshima balozi mzee Maiga,,

hakuwa na busara, japo ana mazuri yake,
 
kwahiyo busara nikuachia magari ya wenye vyeo yavunje sheria? kosa la kipuuzi kwa polisi hao ni lipi? kuja wamelewa kazini ilikuwa ni kosa la kipuuzi? maana nasikia wale polisi walitiwa ndani kwasababu walienda kulewa badala ya kukaa barabarani
 
Back
Top Bottom