Mwenye kujua sifa na matukio ya uongozi wake afande Awadhi Anijuze. Ni yule aliyekuwa RPC Kinondoni

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
Mliowahi kuwa karibu au kuhudumiwa kikazi na afande Awadhi, sifa zake zikoje?

weledi wake ukoje? ni matukio gani mazuri au baya aliyafanya katika uongozi wake?

Karibuni tujuzane zaidi kuhusu Awadhi!
Ni yule alikuwa RTO kinondoni
 
Mkuu huyu alikiwa RTO kinondoni akashushwa cheo sasa yupo temeke kama sijakosea,huyo ukitaka habari zake mtafute dereva daladala yoyote atakupa.
 
Duuuh mkuu hii hatari yaan mtu ana sifa mbaya kiasi kwamba ukitaka kujua ubaya wake wakaulizwe makondakta Daaah sina hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndo jamaa angetujuza japo kidogo atumegee
 
Huyu hahamaa alimalizaga kabisa tabia za madereva wale walio kuwa wana tanua!! Nilikiwa na rafiki yangu Ana subaru alitanuwa apo moroko akamlaza ndani!!
Alikuwa haongeki sanaaaa! Alikuwa sawa sawa Afande Swai alimalizaga vinaka wote kinondoni!
Kumbe alikuwa mwadilifu, kumbe Yale maneno nayosikia alikuwa ananyanyasa watu ni uongo? kwanini alishuka cheo sasa ebu mega ubuyu kidogo
 
ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa

Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani

Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga

Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua

Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo

Sie tusiopenda Sheria tunamchukia sana kwa kuwa kawaida yetu ni kufanya vurugu barabaran halafu ukikamatwa unampa simu aongee na Bosi wake alikuwa anakataa anasema kwanza akukatie ile fine then ndio anapokea simu
Sasa hivi Kinondon inapumua na hata Makusanyo sio kama zaman ‘
 
Duuuh mkuu hii hatari yaan mtu ana sifa mbaya kiasi kwamba ukitaka kujua ubaya wake wakaulizwe makondakta Daaah sina hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Konda na dereva dala dala kwa asikari anaye fanya kazi yake inavyo takiwa hawawezi mpenda! alikamatwa jamaa yangu alitanua tuka mwambia sikari mmoja atufanyie mpango jamaa atoke akasema kama ni kesi ipo kwa Awadhi kamtoleyeni mahakamani!!!!
 
ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa

Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani

Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga

Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua

Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo ‘
Kwahiyo kosa lake ni kusimamia sheria ipasavyo? au kosa lake ni lipi hapo?
 
Kumbe alikuwa mwadilifu, kumbe Yale maneno nayosikia alikuwa ananyanyasa watu ni uongo? kwanini alishuka cheo sasa ebu mega ubuyu kidogo
Me simjuwi wala sura yake siijuwi Ila kumbu kumbu zangu kwake alikamatwa jamaa yangu alitanua apo moroco nikaongea na asikari mmoja afanye mpango jamaa atoke akatwambia kama ni Awadhi kamkamata tukamtoleye mahakamani tusiangaike!
 
Kwahiyo kosa lake ni kusimamia sheria ipasavyo? au kosa lake ni lipi hapo?

Kwani kupeleka shauri Mahakaman southAfrica kushinikiza utekelezaji wa hukumu za Mahakama za hapa nchini ni kosa? Lakin tunawatafuta walimsaidia Babu wa Kizungu tuwapige Uhujumu Uchumi

Africa ni bara la kipekee sana kama hujui

Ukisikia tunasema ‘Yule Afande Mtu fresh sana ‘ ujue ni mtu wa hovyo hovyo kweli na ukisikia mnoko kweli ujue ni mfuata sheria sana
 
ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa

Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani

Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga

Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua

Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo

Sie tusiopenda Sheria tunamchukia sana kwa kuwa kawaida yetu ni kufanya vurugu barabaran halafu ukikamatwa unampa simu aongee na Bosi wake alikuwa anakataa anasema kwanza akukatie ile fine then ndio anapokea simu
Sasa hivi Kinondon inapumua na hata Makusanyo sio kama zaman ‘

Sasa serikali ya wanyonge mbona imemshusha cheo?
 
AWADHI, KAJENGA GOROFA LAKE HUKU BOKO, ALIKUWA AKIWA ANARUDI TOKA KAZINI, ANASIMAMISHA GARI ZOTE HADI APITE YEYE TUNASUBIRI,
SIKU MOJA BODA BODA AKAKATIZA KABLA YAKE PALE MAGENGENI, AKAMKAMATA, YULE BODA AKAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA, AWADHI ALINYANYUA BUTI AKAMPIGA KICHWANI YULE BODA HADI HELEMENT IKAPASUKA,
uliza bodaboda yoyote hapa MAGENGENI story hiyo wanamjua,
alikuwa akikaa kwake gorofani anawapiga picha BODA wote wasofaa helement halafu anawasaka mmoja mmoja
 
ACP Awadh hafai kuwa Polisi wa Africa

Akikukamata sahau mambo ya kumpa simu sijui aongee na bosi gani sijui Mh. Nani

Aliwahi kukamatwa Mke wa Mh. Balozi Mahiga akamtingisha Askar mdogo yule Askar akampa simu aongee na Awadh, alimpa Makavu live bila ya chenga

Alipokuwa RTO Kinondoni tabia ya kutanua Barabaran ilitoweka kabisa na kuna siku nilimshuhudia akimkamata Askar wa JWTZ alietanua

Naskia kapotezwa kwny ramani kwa kujifanya ‘Mjuaji mfuata sheria na miongozo

Sie tusiopenda Sheria tunamchukia sana kwa kuwa kawaida yetu ni kufanya vurugu barabaran halafu ukikamatwa unampa simu aongee na Bosi wake alikuwa anakataa anasema kwanza akukatie ile fine then ndio anapokea simu
Sasa hivi Kinondon inapumua na hata Makusanyo sio kama zaman ‘
Kweli kabisa mkuu alimkamata jamaa yangu tulimpa asikari mmoja cash amtowe akasema kwa Awadhi tukamtoleye mahakamani hapokei pesa yupo Afande mmoja pia alikuwa anaitwa Swai aliwahi kukamata jamaa yetu akagoma pesa kabisa!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom