Mwenye kujua mishahara ya graduate kwenye mabank



Kweli mkali umeongea points tupu......watu wengi wanadhan wanaofanyakazi benki wanalipwa hela nyingi sana au ni kwa sababu wana-deal na hela.....inabidi watu tufunguke mawazo:lock1:
 

Haaa umehamua kuwapa za uso, tena kavukavu!
 
Tena unakuta hata kazi hana, anawaza mshahara! Anawaza kununua vitz, tai kubwa,
 
Tena unakuta hata kazi hana, anawaza mshahara! Anawaza kununua vitz, tai kubwa,

Hivi hamuwezi kuelimisha watu pasipo kejeli? Ukiwa huna kazi ni dhambi kuwaza hayo unayoyasema? Think big dada!
 

ebana mbona umelipuka hivyo?ni nini hasa kimekusibu?
 

mshukuru Mung kwa kuwa wewe ni mfanyabiashara na bado unaelewa mambo meng kuhusu mishahara.ujumbe wako ni mzur ila jaribu kuu wasilisha kistaarabu zaid,siku zote unaweza ukaandika jambo jema lakini ukakosea katika kuliwasilisha
ni mtazamo tu bwanakaka
 
some time we need to change our mind and our perception of what we see,because the economic model we used to have is broken is no longer working that is why many youth who are still looking for job(security)are suffering.What aim trying to say is,"21century will be known as the age of entrepreneur" this means we need to see some miles in the future by creating what is called RESIDUAL INCOME.So my friend Tanzanians all we can do is changing life style to cope with ever changing economy.iF YOU LIKE IT PLEASE FOLLOW ME THROUGH 0657117377
 
simply hapa kuna watu hawakwenda shule au walikwama katikati system ikawatupa nje af kama wanaona wivu hivi,,..

nawashauri wote mjiamini coz elimu inapatikana kwa njia mbili 1. darasani, 2. mtaani(experience)!!

graduate nenda bank ukafanye kazi, bank wanapandisha pay kadiri unavofanya kazi na unavokuwa nao kwa mda mrefu

note: hamna bank manager ambaye ni graduate, na hamna bank manager ambaye hakwenda shule na pia si kwamba watu wote wenye lyf nzuri hapa mjini ni ma-bank manager.
 

well said....
 

kula tano...
 

tunao makazini, vilaza kuliko wenye diploma..hasa wadada..
 
Kuna chalii anaitwa MWANA MTOKA PABAYA anatukana balaa, ukute hata yeye ni Clerk sehemu flani au Officer wa kuishikwa mkono. Ndo hua tabia zao alipo si kutokana na elimu bali elimu na kujamiiana(sicialize) kwa wazazi wake.
 
You are wrong.....

Fact ni kwamba sio wote hutaka kufanya biashara........na kuna sababu kama milioni za kwa nini.Labda uanzishe thread ili kupata uhakika zaidi.

Eti eeeh?

Wao wanapenda tu kupata kidogo huku wanalalamika na kugoma?

Level yako ya kufikiri ndogo sana. Kuwa investor hakuhitaji full engagement yako kwenye biashara. Ukweli hapo ni kwamba hawana vision. Wanafundisha illusions miaka yote na hawana wanachoweza ku-utilize from their books. Hata wewe ni product ya yao na ndio maana unathubutu kusema 'si wote hutaka kufanya biashara'. If that is so then they are stupid. Hutaki fedha nyingi but still unalalamika! This is absurd my Banking Carrier!

Upotofu unaouongea hapo ndio siri ya umaskini wetu. Wengi wenu mko hivyo. Mtaalam wa mifugo hana hata kuku mmoja wa kienyeji, anakaa mjini na PhD yake kaajiriwa kwenye duka la dawa na fisadi mwanasiasa kazi kulalama na kulaumu. Wakati huo huo, kuna mmasai mmoja ambaye hajaenda hata darasa moja ana ngombe 300, kazi ya mtaalamu wa mifugo ni kumkosoa mmasai ilhali yeye mwenyewe ni hopeless case
 
Kuna chalii anaitwa MWANA MTOKA PABAYA anatukana balaa, ukute hata yeye ni Clerk sehemu flani au Officer wa kuishikwa mkono. Ndo hua tabia zao alipo si kutokana na elimu bali elimu na kujamiiana(sicialize) kwa wazazi wake.

Sijaajiriwa mdogo wangu, napiga mishe mishe zangu vijijini. In 5-7yrs, nitaajiri watu.

Don't be delighted yet, sitaajiri wasomi. Nitaajiri watu wenye elimu, ufahamu na utashi (Some people with skills and desire to carry on my vision). That means hautakuwemo kwenye plan zangu.

Hapo kwenye bold, umepathibitisha kwa maneno yako ya hapo kwenye RED. Nakushukuru sana. Lkn huu ni muendelezo wa usomi mlioupata darasani wakati mnakosa elimu. Kama kumwambia mtu mpumbavu ni matusi niwie radhi kwa kuwa kwa nifahamuvyo mimi upumbavu ni silka ya mtu na ikiwa wewe wafanya upumbavu sitaacha kukuita hivyo.

Kwa haya ulioandika hapa, sidhani kama inahitajika uwe graduate kujua mimi na wewe nani anatukana hapa, ila naomba wazazi wangu uwaache.
 


Mndengereko mieeeeeee! Nitafilisika kila kitu lakini siyo MANENO.......KILA LA HERI Mzee wa mishemishe za vijijini..
 

GNLD at work
 

kwani Bakharesa hajasoma? Kama kusoma sio issue watoto wake asingewasomesha! Let it be you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…