Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,128
- 1,842
Wakuu habari, niende moja kwa moja kwenye mada, nikiwa nmezingatia visababishi vyote vya mafua km vumbi, manukato, moshi na vyote vinaavyofanana na hivyo, bado mtoto mafua hayaishi.
Hospital wanadai ni hali ya kawaida, nilishauriwa apate Dr cold syrup imedunda, Cetrizen syrup imedunda.
Msaada tafadhari,mwenye kujua dawa nzuri inayoponya mafua kwa mtoto anijuze, natanguliza shukrani kwenu