Mwenye kujua huyu Ndugu yetu maarufu kwa jina la SABASITA yuko wapi?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Huyu jamaa alijichulia umaarufu sana hasa Jijini Arusha na hata Moshi, alikuwa ni Polisi matata hapo Arusha na ni korofi na mbabe sana, Swali kwa anayemjua, Je! Yuko wapi siku hizi? Yu hai kweli? Maana hasikiki tangu mwaka 2002 niliposikiaga ni mkufunzi hapo CCP MOSHI. Yuko wapi? Twendeni pamoja WanaJF.
 
Yupo Moro kikazi ana cheo cha inspector sasa. Ndiye aliwapokea wageni wale waliokuwa na mpango wa kumuua Dr. Mwakyembe na kuwapeleka ktk hotel moja mjini Moro. Hana issue, alikuwa anaendekeza upolisi ule wa zamani, shule nayo teeeee!
 
Si nasikia aliolewa na mama mmoja anafanya biashara night club hapo Moro!!
 
Duh! Huyu jamaa namkumbuka alikuwa bonge la mbabe ukikuta kashika wazururaji anawakimbiza njiani huku anawaambia waimbe wao ni wazembe enzi hizo primary niko Meru primary tunamshangilia basi anafurahii! Hivi kupanda vyeo polisi ni vipi? Sio mpaka ukasome au? Nafikiri huyu jamaa shule ni ndogo, je kafikajefaje hapo?

Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha
 
Yeah - Aziza
Ama kweli kazi ipo! Hata yule libaunza anaolewa? Ama alikuwa jeuri kwa wanaume wenzake na kwa malaya wa kike hana ujanja. Mmmmh! Ama kweli duniani kuna mambo. Hata baadhi ya raia wakijua huyo fara ameolewa licha ya kuoa hakika watackitika sana.
 
Mara ya mwisho nilikutana naye maeneo ya Samunge Loliondo akipata kikombe cha babu lakini naona kama ameshakuwa mtu mzima kwakuwa hata lile YENU havai tena kama zamani sasa hivi anavaa kawaida!
 
Huyo alikuwa Moro. Anasumbua sana pale Morogoro. Kuna mitaa kama Chamwino 'Dark City' Mji mpya' wanamjua vizur sana huyu bwana.
 
duh! huyu jamaa namkumbuka alikuwa bonge la mbabe ukikuta kashika wazururaji anawakimbiza njiani huku anawaambia waimbe wao ni wazembe enzi hizo primary niko Meru primary tunamshangilia basi anafurahii! hivi kupanda vyeo polisi ni vip? sio mpaka ukasome au? nafkiri huyu jamaa shule ni ndogo je kafikajefaje hapo?

Pukudu@ Ilkiding'a, Arusha


Hahahhah... huyu jamaa alikuwa anamisifa sana kule arusha na alipata umaarufu baada ya kufanikiwa kua yale majambazi kwa kufumua ubongo(1990's) kwenye milima ya kisongo, halafu suruali ilikuwa tumboni pini ya tai ilikuwa mkanda!
alikuwa anataka akipita anasema "NANI KAPITAA..." sisi tunaitikia "SABASITA....", alikuwa mlevi kweli.


MKUU KWENYE BLUE UMENIKUMBUSHA MY SCHOOL.
 
Huyo inspector simfahamu lakini sishangai "kuolewa" na Aziza. Huyo mama machachari sana. Aliwahi kuendesha baa fulani pale shekilango sinza kabla ya kurudi kwao moro. Alikwisha sababisha kizito moja serikalini amwache mke wa ndoa baada ya kutekwa kijumla na Aziza. Jamaa aliishia kupata stroke na sasa ni marehemu.
 
Kuwa makini na maneno yako, una prove au ndo kufurahisha jukwaa...
yupo moro kikazi ana cheo cha inspector sasa. ndiye aliwapokea wageni wale waliokuwa na mpango wa kumuua Dr mwakyembe na kuwapeleka ktk hotel moja mjini moro. hana issue, alikuwa anaendekeza upolisi ule wa zamani, shule nayo teeeee!
 
Back
Top Bottom