Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Nachojua aliwahi kuwa mwandishi wa gazeti la RAI lile la zamani, alifukuzwa kazi kati ya mwaka 2000 au 2001 kwa kudaiwa kuandika habari za uzushi na za uwongo
Uongo ndiyo sifa yake kubwa.
 
mtoa mada hapo umegusa titi unaona wanavyokujibu hakuna hata mmoja mwenye jibu la kutosheleza zaidi ya fedhuri na kejeli nyumbu bwana.hivi wanajua kuitwa nyumbu?
 
Tafuta namba za Dr Tulia au Ndugai wana Cv yake
 
Hapa sidhani kama CV itawekwa, ngoja niendelee na kazi zingine
 
Ww Unataka cv ya kubenea ya
nn
kaomba ajira kwako?Waliomwajiri wanayo cv yake.
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke? kwa hisia zangu kwa muonekano ni mwanaume ila una vijinasaba vya kike kwani umekaa kiumbea mbea mno!

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kubenea ni mumeo, na mumeo anapenda gays kwahiyo una wivu kwamba huenda akakuchukulia mumeo!

Acheni akili za kurudi nyuma, swali liko straight, kama huna majibu ya kumjibu mtu kaa kimya, CV za watu wengi zinauliziwa hapa jf, kuuliza ya kubenea unaleta lugha zisizostahili. siku hizi mkuki si kwa nguruwe tu,
 
Umri anakuzidi,elimu anakuzidi,busara anakuzidi, umaarufu anakuzidi,Pesa anakuzidi,miradi anakuzidi,kipato anakuzidi,ameajiri watu na anawalipa pesa nyingi kuliko unayolipwa wewe.

mbona unapoteza muda wako kuhangaika na vitu usivyoweza kuvibadili dogo?....Piga kazi dogo kama uko shule soma lakini usisome kama kasuku
 
Kubenea. Certificate in lunatism
Diploma in hearsay and lies
Mbowe bootlicker
Official Nyumbu
 
Kwani kuna ugmu gni wa kueleza cv ya mtu? Kwani cv ni siri? Ninavyojua mimi hakuna mtu asiye na cv hivyo hata Kubonyea anayo
ww ni muongo sio mbunge wako sema zaidi zaidi wataka kuleta siasa za maji taka na kuchafuana .

kama ww ni mwana ubungo huwezi uliza hili ina maana kwenye mikutano ulihudhuria majibu yako yote unayo
 
CV ya kubenea ni uzalendo uliotukuka aliojaaliwa na mwenyezi Mungu , kuna mtu ana makaratasi kibao , Dr yeye , profesa yeye lakini madudu aliyoyaacha nchi hii hayajawahi kuachwa tangu dunia iumbwe .
 
Jukwaa limevamiwa, njoja nimalizie palizi la mahindi yangu kwanza. Labda wataweka hiyo CV.
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.
Teh teh teh!hakuna binadamu ambaye hana CV,labda hujui nini maana ya CV!
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.

Ya kwako iko wapi we matonya
 
Back
Top Bottom