Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Kubenea bonge la msaada kwa wala wanao elewa mwelekeo wa nchi iliko kuwa ina elekea hasa mtu kama huyu anahitaji kuungwa mkono na kila mpenda haki ila kwa wale walio zoea maisha ya kitapeli na kuhujumu uchumi wanchi wana kasirika na kuuliza CV
 
Chadema cv zao nyingi ni chovu... Sijui kwa nini!!! Nyingi ni za kuunga unga... Kuna watu cv zao na umri wao ni tofauti...
 
ni kosa kubwa sana kuuliza CV kwa mwana ukawa yoyote huwezi pata maana shule hawajaenda kivile.
 
Conclusion: Hakuna anayemfahamu kubenea kwa elimu na uzoefu wake wa kazi!Hivi hayumo humu??@kubenea vipi Ben Saanane hawezi kutusaidia??au tumuite msemaji wa chadema let say Chademakwanza ???
 
Last edited by a moderator:
Kubenea shule ilimpita kushoto sana anaweza umbea tu wala siyo jambo jingine.
 
Kimsingi kubenea aliishia kidato cha nne na akasoma Chuo cha uandishi wa habari kwa ngazi ya Certificate,baadae alipata kibarua gazeti la Rai ambako hakudumu sana.
Alianzisha gazeti lake huku akisaidiwa na Rafiki zake lkn mwaka 2011 kubrnea aliitwa na kupewa Onyo kali na Mh Lowassa kutokana na kumchafua sana gazetini.
Baadae Kubenea alijengewe Nyumba na Mzee Lowassa yenye thamani isiyopunfua Sh .mil 250 pamoja na kudhaminiwa na Lowassa huyohuyo kwenda kusoma mambo ya Habari nchini Afrika ya kusini.
Aliporejea akaanza kubadilika ktk uandishi na ndipo alipoianza kazi rasmi ya kumsafisa Lowassa kupitia gazeti lake.
Hiyo ndiyo cv ya kubenea
Mwanakubenea mambo mengi umepatia lakini hujaelezea kisa cha kumwagiwa tindikali na kupatiwa matibabu huko India kwa msaada wa Rais JK Serikali kugharimia matibabu ya Kubenea – Bongo5.com
na hakusomea Afrika kusini hiyo kozi yake
umenifurahusha kwani post yako ya kwanza unaingia na ID hiyo
user-offline.png
Mwanakubenea



Join Date : 16th December 2015
Posts : 1
Rep Power : 0
 
juzi juzi (last year or 2013) amekuwa akiandika akiwa netherlands chuo fulani hivi. nadhani huyu jamaa ana shule kichwani
 
Back
Top Bottom