Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

mwobho

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
808
352
Wakuu salama?
Nimehangaika sana kutafuta CV ya mheshimiwa mbunge wangu wa Ubungo Saed Kubenea bila mafanikio.
Nipo hapa naandaa salamu za pongezi kwa mbunge wangu lakini sijui kazaliwa lini, wapi, kasoma nini na wapi? Na amebobea kwenye nini?.

Mwenye kujua zaidi anijuze tafadhali.

Nawasilisha
 
Ni mbunge wako,lakini hujui kazaliwa lini,kiwango cha elimu na taaluma. Ulikuwapo wakati wa kampeni? Ulipiga kura? Maswali yako yalijibiwa kipindi cha kampeni,tafuta kipeperushi cha mbunge wako
 
Ni jamaa Fulani hivi ana mdomo mrefu kama nyani....................
 
Nachojua aliwahi kuwa mwandishi wa gazeti la RAI lile la zamani, alifukuzwa kazi kati ya mwaka 2000 au 2001 kwa kudaiwa kuandika habari za uzushi na za uwongo
 
Alipoondoka RAI nafikiri ndio alianzisha gazeti la Mwanahalisi na kupata umaarufu, ila wakati yupo RAI hakuwa akijulikana
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke? kwa hisia zangu kwa muonekano ni mwanaume ila una vijinasaba vya kike kwani umekaa kiumbea mbea mno!
 
ww ni muongo sio mbunge wako sema zaidi zaidi wataka kuleta siasa za maji taka na kuchafuana .

kama ww ni mwana ubungo huwezi uliza hili ina maana kwenye mikutano ulihudhuria majibu yako yote unayo
 
Back
Top Bottom