Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Cv ya kubenea ni sawa na ile ya Mbowe,after all cv sio jambo muhimu kwa kiongozi wa kisiasa Tanzania
 
Kimsingi kubenea aliishia kidato cha nne na akasoma Chuo cha uandishi wa habari kwa ngazi ya Certificate,baadae alipata kibarua gazeti la Rai ambako hakudumu sana.

Alianzisha gazeti lake huku akisaidiwa na Rafiki zake lkn mwaka 2011 kubrnea aliitwa na kupewa Onyo kali na Mh Lowassa kutokana na kumchafua sana gazetini.

Baadae Kubenea alijengewe Nyumba na Mzee Lowassa yenye thamani isiyopunfua Sh .mil 250 pamoja na kudhaminiwa na Lowassa huyohuyo kwenda kusoma mambo ya Habari nchini Afrika ya kusini.

Aliporejea akaanza kubadilika ktk uandishi na ndipo alipoianza kazi rasmi ya kumsafisa Lowassa kupitia gazeti lake.

Hiyo ndiyo cv ya kubenea
 
Kubenea ni mtu flani dhaifu sana hasa kwa wenye senti.

Gazeti la Mwanahalisi lilikuwa ndio gazeti langu kila alhamisi ,wakati huo Kunenea alikuwa mpinga rushwa na ufisadi.

lkn baada ya kubenea kuanza kuwasafisha watu aliowapinga,nilipatwa na bumbuwazi na kuanzia hapo mwanahalisi kwangu ni jarida la kufungia mandazi.

Sasa ninasoma sana gazeti la JAMVI LA HABARI nao wakijifanya kuwa ndumila kuwili kama kubenea nitalihama
 
Acha usenge wewe kama huna unachokijua kaa kimya KUBENEA ni zaidi ya jembe
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.

Kama vile nyerere na diploma yake ya ualimu
 
Unataka CV ya masomo au matikio?

Maana iwe tukio au Elimu zote ni CV
 
Kimsingi kubenea aliishia kidato cha nne na akasoma Chuo cha uandishi wa habari kwa ngazi ya Certificate,baadae alipata kibarua gazeti la Rai ambako hakudumu sana.

Alianzisha gazeti lake huku akisaidiwa na Rafiki zake lkn mwaka 2011 kubrnea aliitwa na kupewa Onyo kali na Mh Lowassa kutokana na kumchafua sana gazetini.

Baadae Kubenea alijengewe Nyumba na Mzee Lowassa yenye thamani isiyopunfua Sh .mil 250 pamoja na kudhaminiwa na Lowassa huyohuyo kwenda kusoma mambo ya Habari nchini Afrika ya kusini.

Aliporejea akaanza kubadilika ktk uandishi na ndipo alipoianza kazi rasmi ya kumsafisa Lowassa kupitia gazeti lake.

Hiyo ndiyo cv ya kubenea

Weka ushahidi zaidi funguka
 
Tupatate cv ya anayetaka cv ya kubenea.
Kiongozi hutoa mfano..."Mla vya wenzake,huliwa"by J.k
 
Kimsingi kubenea aliishia kidato cha nne na akasoma Chuo cha uandishi wa habari kwa ngazi ya Certificate,baadae alipata kibarua gazeti la Rai ambako hakudumu sana.

Alianzisha gazeti lake huku akisaidiwa na Rafiki zake lkn mwaka 2011 kubrnea aliitwa na kupewa Onyo kali na Mh Lowassa kutokana na kumchafua sana gazetini.

Baadae Kubenea alijengewe Nyumba na Mzee Lowassa yenye thamani isiyopunfua Sh .mil 250 pamoja na kudhaminiwa na Lowassa huyohuyo kwenda kusoma mambo ya Habari nchini Afrika ya kusini.

Aliporejea akaanza kubadilika ktk uandishi na ndipo alipoianza kazi rasmi ya kumsafisa Lowassa kupitia gazeti lake.

Hiyo ndiyo cv ya kubenea

Acha ushangingi
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.
Kwa tafisiri nyepesi, kwa Kiswahili; CV ni wasifu! Wasifu ni jumla ya maelezo kuhusu habari na historia ya mtu! Sasa, siyo Mbowe tu, kila mtu Ana CV.
 
Mchumia tumbo huyo aliyekubuhu kwa kiwango cha unafiki
 
Kuna Saed Kubenea tulikuwanaye JKT, lakini siyo huyu mbunge. Baadaye nikaambiwa huyo (wa JKT) ni mdogo mtu. Vyeti hivi vinaleta mambo tusubiri wenye uhakika na hili waje!
 
Back
Top Bottom