Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

CV ya Kubenea??? Ikipatikana zawadi mbuzi wa X-mass. Niliwahi kuwa na mtu JKT akiitwa Saed Kubenea naambiwa ni mdogo wake "Saed Kubenea" huyu mbunge, tuanzie hapo.
 
Hujatafuta kabla ya kumpigia kura, utafute Leo, ww vipi
 
CV ya nini, kwani unataka kumwajiri? Angalia output ya kazi yake na utabanaishe kama iko kwenye kiwango au la.
 
Hakuna kitu hapo.Sana sana ka-attend madrasa tu na hawa ndo mtaji wa mwenyekiti sababu haimpi shida kuwashikia hizo akili zao robo kibaba. Hata hao wenye CV wapo wapo tu kama mazezeta,mtu anayejitambua hawezi kuongozwa na mtu wa aina ile lazima mtatofautiana labda ukubali kuwa zuzu.
 
kwani unataka kumpa ajira!? ofisi ya bunge wanayo CV yake, nae pia utampata kwenye 0fisi yake
 
Sisi kwetu CV uwa siyo muhimu sana ndiyo maana unaona hata mmiliki wa Chadema Mbowe hana CV yoyote lakini anawaongoza watu wenye degree, master's, PhD.
Mkuu tutapata wapi futari mwaka huu kwasababu huyu mgalatia kawafukuza wale wapishi wetu pale Ikulu au umeshawasiliana na Dr Dau?
 
Post kama hizi huwa zinasaidia kuanalyse Uwezo wa kiakili wawachangiaji. Kimsingi watu hawajiamini na wanaonesha ujinga kwa kukimbia ombi la mtoa mada.

Anayejua huyo jamaa cv yake alete kama hujui piga kimya
 
kiongozi akiwa wa upinzani ni mwiko kujadili CV yake...ila angekua CCM hapo sawa tungejadili

upinzani ni malaika hapa Tanzania...
unakumbuka mbowe aligoma kutoa CV yake kipindi Mtatiro anachambua viongozi wa UKAWA ishu ya Urais

sasa mtattiro anachambua CV za mawaziri wa CCM ..itakapo fika katika upande wa mawaziri vivuri cheche zitaruka
 
Post kama hizi huwa zinasaidia kuanalyse Uwezo wa kiakili wawachangiaji. Kimsingi watu hawajiamini na wanaonesha ujinga kwa kukimbia ombi la mtoa mada.

Anayejua huyo jamaa cv yake alete kama hujui piga kimya

Nawe huna tofauti na mleta mada.Watu wanaangahika na vitu vya msingi nyie mnahangaika na cv ya mtu.Nyote hovyo kabisa.Mleta mada katabanaisha kwamba anataka kujua cv yake ili ampe salaam ya pongezi.Hv inaingia akilini ukitaka kumpongeza mtu au kumdharau mpaka uwe na cv yake? Ungekuwa mbele yangu ningekuzaba kibao.
 
Umri anakuzidi,elimu anakuzidi,busara anakuzidi, umaarufu anakuzidi,Pesa anakuzidi,miradi anakuzidi,kipato anakuzidi,ameajiri watu na anawalipa pesa nyingi kuliko unayolipwa wewe,mbona unapoteza muda wako kuhangaika na vitu usivyoweza kuvibadili dogo?....Piga kazi dogo kama uko shule soma lakini usisome kama kasuku

Mhhh!! Vp au ndo wewe?
 
Tusaidie kwanza cv za profesa majimarefu na jah people, kibajaji



Jah people wanasema alisoma darasa la kwanza NA la pili nusu hakumaliza mwaka, so elimu take ni darasa moja NA nusuuuuu...ila kwasasa ni mbunge Wa makambako NA soon atachafuliwa kua mwenyekiti Wa PAC
 
Back
Top Bottom