Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.

Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.

Madereva wengi wa boda boda vichwa vyao viko spidi sana, labda ndio sababu ya kuiita hiyo kazi ni laana.

Lakini kama boda boda wangekuwa wanafuata sheria za usalama barabarani, na kuchukua tahadhari, naamini wangeepuka vifo na ajali nyingi sana.

Hiyo kazi sio ya laana, laana wanaisababisha wao wenyewe kwa matendo yao bila kufikiria.
 
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.

Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.

Acha yafe tu,yanajitoaga ufahamu yakiwa barabarani
 
Back
Top Bottom