Hahaaaaaa hapo patakuwa ametulia sana coz utasikia Mamndenyi kwa kupenda vya wakwe lol utadhani anafanya biashara mara utasikia BADILI TABIA kwa wanaume lol utadhani kachanjiwa heheheee mi simo
Heheheeee ummu kulthum umekuja kuthibisha leo eeeehnikisema mmepewa libwata mnanisema haya sasa idadi ya mademu ni wengi ma men wachache
Hahaaaaaa hapo patakuwa ametulia sana coz utasikia Mamndenyi kwa kupenda vya wakwe lol utadhani anafanya biashara mara utasikia BADILI TABIA kwa wanaume lol utadhani kachanjiwa heheheee mi simo
Hahahaaaaaa tangu Cantalisia awekwe kinyumba na nitonye Rejao kaamua kukimbia jukwaaa lolSasa Erick ikifikia muendeshaji akiwa Rejao na mgeni Cantalisia itakuaje ?
Maana wale wana "cha usubui"
"cha mchana"
"cha jioni"
"cha usiku "
Additional
"cha studio"
"cha kuendesha kipindi"
"cha kutumia salamu"
"cha muagano"
Hawa haina haja wapewe siku.
Sasa Erick ikifikia muendeshaji akiwa Rejao na mgeni Cantalisia itakuaje ?
Maana wale wana "cha usubui"
"cha mchana"
"cha jioni"
"cha usiku "
Additional
"cha studio"
"cha kuendesha kipindi"
"cha kutumia salamu"
"cha muagano"
Hawa haina haja wapewe siku.
Hahahaaa ukiwachija utapata makapi badala ya vitu vizuri ooohWakwe wenyewe naanza kuwachuja, lol,
toka january hadi leo hakuna hata wakunipa tenge la wax
sijui hawa watoto kwa nini wanabadilika hivi.
Tena nawapa mpaka sikukuu ya wachagga ikifika kama wakikauka hivi,
nawatafutia wanangu wake wa kuoa mimi mwenyewe, lol.
Hahahaaa ukiwachija utapata makapi badala ya vitu vizuri oooh
Nisikupendelee kwa nini? Zamani ulikuwa mtoto mzuri, mamako alikupenda sana. siku hizi umekuwa mkubwa hutaki kufuata nyayo za mama yako kwenye malezi...... kwanini lakini huthamini wanao?
![]()