mweleka!

Angalia kama viti vya ofisi havina poda poda yoyote, na hakikisha camera zilikuwa hazikuzimwa. Ukimaliza uchunguzi tuambie. Chukua muda wako.
 
mmh...haya mambo huwa yanachengua tu... we had the first attack this morning, walipojaribu kuoverwhelm traffick lakini tukistahimili... sasa sisi wenye tujisenti kweli tutaweza kusimama mbele yao hawa...
 
Nimeona Lusekelo adai voodoo ya bariadi ni more decent kuliko za bwagamoyo na sumbawanga..hii wanaweza kuituma via e-mail au cell phone na ikawa delivered vile vile..
 
Angalia kama viti vya ofisi havina poda poda yoyote, na hakikisha camera zilikuwa hazikuzimwa. Ukimaliza uchunguzi tuambie. Chukua muda wako.

loh kuhani hapo umeniua mbavu zangu kinyama!!
 
mmh...haya mambo huwa yanachengua tu... we had the first attack this morning, walipojaribu kuoverwhelm traffick lakini tukistahimili... sasa sisi wenye tujisenti kweli tutaweza kusimama mbele yao hawa...

...tulipoituma ile barua kwa sinclair ulitegemea atatuacha tuwalk freee??? Ila thanx Mungu ametunusuru......
 
Msanii je wewe Sinclair alikujibu? mimi nilipotuma ile barua baadaye aliijibu! Naona ilimuuma sana kiasi kwamba aliona ni vizuri ajibu kujitetea kuwa habari za ripoti hii ilitoka CNN na sijui wapi huko! kweli mfa maji......
 
Back
Top Bottom