Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,863
- 172,546
Njooni Sitimbi.
Sie huku huwa tunapiga jembe then wahusika tunakusanyika!
Huko town magumashi tu!
Mjini ndo kila kitu asikuambie mtu....
Njooni Sitimbi.
Sie huku huwa tunapiga jembe then wahusika tunakusanyika!
Huko town magumashi tu!
Mjini ndo kila kitu asikuambie mtu....
Mbona sijapata mwaliko jamani...!!!
daughter mzima wewe! jana nilikua nasikia tu kwa mbali ukiteta na kina Rutta....moyoni nikawa najifagilia "that's my princess"....
Jaman cl umeniamulia mweeh leo si nimekuambia nina nin bt jion ntakuwa free mandela bt unahisi ntadanganya nakusikiliza wewe shoga aangu
N
Mkutano mwema!
Ila mkumbuke kumrudisha beibe nasty Malimbe!
Mpiga vigelegele ProfessionalWacha bana usinambie basi sawa mi nahitaj kuwa mpiga kigelegele cha kingon mixer kipogoro