Mwanza yarindima mabomu kwenye kesi ya Wenje

Mwanza yarindima mabomu kwenye kesi ya Wenje

Kwenye mikutano waliyofanya ya Baraza kuu aliwataka watu kwenda kwa wingi (kimaandamano!!!!!???) kesi zao za ubunge zinaposikilizwa.Nafikiri lengo ni kuwatisha mahakimu wakiona ma-umati watishike na pia ni njia ya kuanzisha maandamano ya vurugu wakati wa kwenda mahakamani au wakati wa kutoka mahakamani au wakiwa eneo la mahakama.
Hakuna Hakimu anaesikiliza kesi ya wenje
 
Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.

sifa

1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani
2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri
3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaandaa wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani

Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.

Huyo katibu mkuu wa CHADEMA uanachama tu ana miaka miwili,Uzoefu wa uongozi ndani ya Chama na serikali SIFURI.
11. Yalishikwa Meno ya Tembo na akadai kuwa Meno ya Tembo si yake bali meli ni yake!
 
Kwenye mikutano waliyofanya ya Baraza kuu aliwataka watu kwenda kwa wingi (kimaandamano!!!!!???) kesi zao za ubunge zinaposikilizwa.Nafikiri lengo ni kuwatisha mahakimu wakiona ma-umati watishike na pia ni njia ya kuanzisha maandamano ya vurugu wakati wa kwenda mahakamani au wakati wa kutoka mahakamani au wakiwa eneo la mahakama.
MAWAZO YA KITOTO AU UKEREKETWA WA KISIASA !!
 
hayo ni ya Mwanza..
ya Pemba haya hapa
18b794645f314d02783224f3ce854654.jpg
 
Wambie watu wengine has a haya yanayotumbuana majipu usiku kucha wanaandika habari za uzushi
 
Huu ni ushahidi tosha kuwa Wenje alihujumiwa, Polisi aliyeenda shule hawezi kuacha kulinda RAIA na kuzuia wahamiaji haramu harafu iende mahakamani kuhangaika na watu wanaosikiliza kesi.

Hata hivyo askari wabobevu wa FBI hawawezi kufanya kazi ya hovyo ifanywayo na polisi wa Tanzania.


Najiuliza no sababu ya form four yenye division four ya pointi28-30 au Yale mafunzo ya miezi mitatu au mafunzo ya green guard sielewi kabisa


Wenje komaa IPO siku Mabula atamkumbuka Dr. William Shija
 
Yaani wameona shughuli ya kumpata katibu haijapata msisimko wa kutosha wanaamua watokee huku!
 
Haki inapokuwa inacheleweshwa wadai HAKI huitafuta kwanguvu zawo wenyewe " pamoja UKAWA.
 
Wamepewa maagizo wasambaratishe umati wa watu ambao mikononi mwao hakuna chochote walichobeba kuhatarisha usalama wa kesi isisikilizwe ni dalili za uoga uliotukuka kutumia nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kujua hatima ya kesi ya Wenje kupinga matokeo.
 
Kwenye jukwaa la wasomi kama Jamii forums ukisema mimi msomi huanzii kueleza vishule vya msingi na sekondary ulivosoma.Ukisema mtu nina digrii mbili inaeleweka kuwa huko msingi na sekondary ulishapita!!! Kisha unaenda moja kwa moja kueleza MAJOR WORKS ULIZOFANYA ambazo ni verifiable na PUBLIC KAMA HIZO NAFASI ALIZOSHIKA KINANA

Uzoefu wa uongozi wa KATIBU MKUU WA CHADEMA NDANI YA CHADEMA NA SERIKALINI NI SIFURI.Uanachama tu kajiunga 2013 ana miaka miwili tu kwenye uanachama eti tayari afaa kuwa katibu mkuu!!! Mumeacha wakongwe wenye CV zilizokakamaa mnaenda tafuta katibu mkuu wa majaribio.Huyo alitakiwa asiwe hata naibu katibu mkuu
na vp yule katibu
mkuu wa chama kutoka nchi ya kigeni afu jangili
 
Uzuri wa haki ni kwamba unaweza kuificha, kuichelewesha au kuifinyanga finyanga utakavyo lakini kamwe huwezi kuipoteza
 
Back
Top Bottom