Mwanza yarindima mabomu kwenye kesi ya Wenje

Mwanza yarindima mabomu kwenye kesi ya Wenje

Kesi ya kupinga ushindi wa Mhe. Mabula iliyofunguliwa na Ezekiah Wenje inaendelea hapa Mwanza. Kesi hii inavuta umati mkubwa wa watu wanaokuja kusikiliza, tatizo kubwa ni nafasi ya watu kukaa na ukosefu wa VIPAZA SAUTI. Nawashauri Idara ya Mahakama kuweka vipaza sauti kwa maeneo yanayozunguka Mahakama ili wananchi wapate kufuatilia maendeleo ya shauri hili.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom