Mwanza yarindima mabomu kwenye kesi ya Wenje

Tumeomba mtuwekee cv ya katibu mkuu wa ccm kinana tuione,msione aibu kuweni waungwana

Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.

sifa

1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani
2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri
3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaandaa wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani

Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.

Huyo katibu mkuu wa CHADEMA uanachama tu ana miaka miwili,Uzoefu wa uongozi ndani ya Chama na serikali SIFURI.
 
NILIONA MAHALI HUO KATIBU MKUU ANASINDIKIZWA UWANJA WA NDEGE
 
Alafu nimetizama wengi ni wale wavuta bhangi na wanywa viroba ....sidhani hata walipiga kura.
Si Alafu ni Halafu.Ukiwa muongo usiwe mshaulifu.Hivi Mwanza umeenda na ungo???
 
Hii serikali ya magufuli ya kijuha sana, nimeshahama rasmi kumtetea mwana kigango huyu, kanikera sana na udini wake
Bora hata magufuri waislamu katka teuz za u Rc mpo 7....Mzee wa msoga ma Rc wakristo walikuwa watano halafu sisi wakristo hata hatukubwabwaja midomo.
 
Wakati wa sasa za kiharakati za mapambano umekwisha. Huu ni wakati wa kujenga hoja zenye nguvu na faida kwa nchi. Vurugu mwisho wa siku huwagharimu wananchi wa kawaida.
Hebu kayasene hata Kyle Zanzibar utakuwa umesaidia sana. Hoja zenye nguvu kwa Zanzibar, hata.
 
Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.

sifa

1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani
2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri
3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaanda wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani

Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.
Mkuu unaaza na wapi shule alizo somea, ikiwezekana hata jina la primary na mahala hizo degree ni za kitu gani na mwaka na hata ikiwezekana pia na uraia
 
Si Alafu ni Halafu.Ukiwa muongo usiwe mshaulifu.Hivi Mwanza umeenda na ungo???
Katika kiswahili kuna kitu kinaitwa Sarufi....hayo ni makosa madogo madogo tu ya ki sarufi.....kuona si lazima niende kule .
 
Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.

sifa

1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani
2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri
3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaandaa wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani

Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.
Utwambie na mali alizo nazo kama ni gari au meli useme pia
 
Hivi ile bia ya ndovu bado inatengenezwa mkuu?
 
Hizi vurugu walizipanga.Wanataka kutumia kinachoitwa nguvu ya umma kutishia majaji na mahakimu wasitoe maamuzi ya kesi wakiwa huru.Wanaleta vitisho kwenye uhuru wa mahakama ili atetemeke kutoa hukumu kisa eti mwenyekiti wa CHADEMA taifa na katibu mkuu na umati wa watu wenye hasira wako mbele yao.
Mahakama hazijawai kua huru
 
Ati! mbunge wa wanyonge! chadema haina mbunge wa wanyonge hata mmoja. wabunge wake ni wahuni tuu.... wasanii
 
Wakati wa sasa za kiharakati za mapambano umekwisha. Huu ni wakati wa kujenga hoja zenye nguvu na faida kwa nchi. Vurugu mwisho wa siku huwagharimu wananchi wa kawaida.

Sasa mabomu ya nini kwa watu wanaokwenda kusikiliza kesi? au intelijensia iliwaambia wanakwenda kufanya mkutano bila kibali cha polisi?
 
Ni kweli ni haki yao lakini wako wangapi? Unakuta ukumbi wa mahakama unaingia watu 20 wasikilizaji wamekuja 10,000 si utawaambia wengine tokeni mkakae mbali sababu chumba hakitoshi? wakikataa lazima muziki uanze.

Pia kwa mfano wamekuja watu wengi kusikiliza wamejaa kiwanja chote cha mahakama kiasi kuwa majaji na magari yao na wao wenyewe hawawezi tembea kwa shughuli zao au wamejaa na kufunga barabara kiasi cha kuleta bughudha kwa watumia barabara na majirani na mahakama polisi wana haki ya kuwaambia watu ondokeni eneo la mahakama wakikataa lazima virungu vianze.

Au wako nje lakini wanapiga kelele si unajua hata ukiwa unaendesha gari huruhusiwi kupiga honi eneo la mahakama sasa wao kama wamegeuza uwanja wa mahakama mahali pa kelele lazima polisi watalianzisha kuwakurupusha

Eneo la mahakama si sawa na maeneo mengine

mahakama iweke vipaza sauti

Mbona huwa inafanyika hivyo na sio kitu cha ajabu
 
Back
Top Bottom