Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
AmenNaamin Mungu ni mwema na mwaminifu . Ipo cku chadema tutapata haki yetu .
AmenNaamin Mungu ni mwema na mwaminifu . Ipo cku chadema tutapata haki yetu .
Chunvi tam mpe limau na ndimuWenje atashinda kesi
Kafulila atashinda kesi
Kama hupendi lamba chumvi
Nahisi umenielewa kupita kiasiMaana mnajua mlichofanya siyo?
Usijali mkuu atarekebishaTarehe ya huu waraka kama imekosewa vile, leo ni 14th March, 2016. Hiyo tarehe ya waraka hatujaifikia.
Wenje ataendelea kuwatumia kwa kesi ambayo majibu yake anayajua.Kesi ya kupinga ushindi wa STANSLAUS MABULA iliyofunguliwa na Mh. E. Z. WENJE imeendelea leo.
Upande wa wajibu mashtaka waliweka pingamizi kwenye HATI YA KIAPO ya Shahidi namba Tatu ambaye ni Mh. E. Z. WENJE hivyo kuiomba Mahakama iwape masaa mawili ya kuitolea ufafanuzi.
Baada ya hilo kujitokeza Mahakama ilihairishwa kwa masaa mawili yaliyoombwa, saa Nane mchana Mahakama iliketi upya na kupokea hoja bishwaniwa juu ya HATI KIAPO.
Baada ya pande zote mbili kutoa hoja zake, Mh. Jaji alihairisha kesi hiyo mpaka trh 16 March, 2016 saa tatu asubuhi ambapo aliweka wazi Mahakama kuwa suala hilo haliondoi uhalali wa Mh. E. Z. WENJE kutoa ushahidi wake.
Hivyo inatarajiwa trh 16 March, 2016 Shahidi namba tatu Mh. E. Z. WENJE atatoa ushahidi wake.
Nje ya mahakama wafuasi na wapenzi wa CDM walikuwa wengi sana waliokuja kusikiliza kesi hiyo, hivyo kulazimika Mwanasheria ERICK MUTTA kutoa ufafanuzi wa kilochoendelea mahakamani na kuwaomba wafuasi na wapenzi hao wa CDM kutawanyika kwa AMANI.
Katika hali ya kushangaza Askari wa Jeshi la Polisi waliziba njia nakuanza kuwashambulia kwa virungu na mbwa hata kupelekea majeraha makubwa kwa baadhi ya wafuasi hao, Hali iliyopelekea Mh. E. Z. WENJE Kuingilia kati na mabishano makubwa kuzuka, ilikuwa ni dhahama kubwa na mpaka hivi sasa Mwanachama mmoja ambaye jina Lake halijapatikana amekimbizwa Hospitali kwa Gharama za Mh. E. Z. WENJE.
TUKUTANE TENA MAHAKAMANI JUMATANO trh 16 March, 2016 saa tatu asubuhi.
ERICK MUTTA.
MWANASHERIA,
Bavicha Nyamagana.
MWANZA
16 Marchi, 2016.
Usiseme poolisi,Usipotii sheria na maagizo ya polisi hamna jinsi, ni virungu tu!
Siasa ni pesa, na upinzani wameshapata mgodi wa pesa (kwa ongezeko kubwa la wabunge) hivyo upinzani kufa sahau kwasasa.Ila hapo sina uhakika kama haki itendeka kwasababu naona mr Hapa kazi amekuja lasmi kwaajili ya kuupoteza upinzani.
Hivi kama Mungu angetulaani na chadema kushinda, mngetumia wapi?? Au red brigade??Usiseme poolisi,
Sema wafuasi wa Ccm walio vaa sare za poolisi.
KivipiNahisi umenielewa kupita kiasi
Kwani nyie hamjalaniwa? Angalieni maigizo mnayofanyaHivi kama Mungu angetulaani na chadema kushinda, mngetumia wapi?? Au red brigade??
Hahahaha.............anayestaili hofu apewe hofu.........lema
Serikali sikivu na jeshi la polis sikivu kwa ccm nimekosea hakuna jeshi linalojihusisha na siasa hao ni wafuas wa ccm waliovaa nguo za polis kwa kod za umma kutekeleza matakwa ya mtawala wao hawako kwa ajili ya haki wao ni wabomoaj wa haki
unawaone polisi, wanapokea amri na kuzitekeleza bas ndo kazi yao na ndo wanapopatia mkate wao
Lembeli pia atashindaWenje atashinda kesi
Kafulila atashinda kesi
Kama hupendi lamba chumvi
Mkuu hongera sana mimi mwenyewe nilipiga Hat trick ya UKAWA namshukuru Mungu nikashinda kwa kumpata Msigwa na diwani toka Ukawa nimepoteza ile ya mauzauza tu na huu mwendo ni miaka yote hawa ccm hawatopata kura yangu kamwe.Kaka tushapambana sana kuhakikisha ccm inatoka madarakani lakini tatizo walituzidi kwa tikitaka
Mimi ni moja ya watu ambae Kura yangu haijaenda ccm
Kuanzia mbunge diwani rais hadi serikali ya mtaa Leo sio siri zote
Nilizichapa kwa viongozi wa ukawa
Hivi kama Mungu angetulaani na chadema kushinda, mngetumia wapi?? Au red brigade??
Kununua magari 779 ya kuwakabili wananchi ili kulazimisha kutawala tena na kuwaacha wamama wajawazito vijijini wakifa na pia wanafunzi wakikaa chini kwa kukosa madawati ipi ni LAANA?Hivi kama Mungu angetulaani na chadema kushinda, mngetumia wapi?? Au red brigade??