Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,537
- 14,275
Sioni tatizo kuona comment kama hiyo maana Na WW ni walewale akina matonya ....asili ya kijaniWameshindwa kumpata mrithi sahihi wa kuvaa viatu vya Dr. Slaa wanaleta vurugu, wapingwe tu
Sioni tatizo kuona comment kama hiyo maana Na WW ni walewale akina matonya ....asili ya kijaniWameshindwa kumpata mrithi sahihi wa kuvaa viatu vya Dr. Slaa wanaleta vurugu, wapingwe tu
Mpigwe tu maana hamjielewi......Sioni tatizo kuona comment kama hiyo maana Na WW ni walewale akina matonya ....asili ya kijani
Ww unajielewaMpigwe tu maana hamjielewi......
Hivi MTU wa aina yako unaweza kuwa umewahi kusoma hata biblia?Kuna hakimu ndani ya Biblia aliwahi mhukumu Yesu asulubiwe kwa kuogopa umati wa watu na akasulubiwa kweli
mkuu karibu tule halua...tupozee na ghahawa!Hii serikali ya magufuli ya kijuha sana, nimeshahama rasmi kumtetea mwana kigango huyu, kanikera sana na udini wake
Kwa nini wajazane mahakamani kama si kutishia watoa haki?hakuna mahali watu wamefanya vurugu,wako kwa utulivu wakisikiliza hoja za wakili Tundu Lisu,polisi ndo hawataki watu
Mkuu unaaza na wapi shule alizo somea, ikiwezekana hata jina la primary na mahala hizo degree ni za kitu gani na mwaka na hata ikiwezekana pia na uraia
Tulia bhasi msumali ukuingie.......Acha kukariri Na akili za kushikiwa ...hilo neno nyumbu naona mmelifanya wimbo wa taifa

mahakama iweke vipaza sauti
Mwanza hakuna mabomu mzee, mimi muda huu nipo makoroboi hapa kwenye takataka, naelekea stand ya daladala za nyasaka.Habari mvunjiko ni kwamba Mwanza imezizima.Ni kesi ya kupigania kumpigania mbunge wa wanyonge Mh.Ezekiel Wenje.
Biashara zimesimama, mabomu yanarindima.
Wafuasi wa CHADEMA wanakatazwa kusikiliza kesi.
Yupo Kamanda Mbowe,Katibu Mkuu Msomi Dr.Mashinji na makamanda wengine.
mtaje jina lake mkuu,alikuwa anaitwa nani?Kuna hakimu ndani ya Biblia aliwahi mhukumu Yesu asulubiwe kwa kuogopa umati wa watu na akasulubiwa kweli
jibu kuntu,mkuu kula like!Kigwangwala kasema asitafute sifa, migomo alikuwa anaandaa yeye Kigwangwala na Ulimboka.
Jamaa mleta mada muongo sisi turiyopo hapa mza mbona hatuyasikia na tuko town au mwanza ziko mbili
Mmawia usituchoshe kuhojihoji CV za katibu 'wetu'. Nakupa chache tuu kwanza.Tumeomba mtuwekee cv ya katibu mkuu wa ccm kinana tuione,msione aibu kuweni waungwana
Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.
sifa
1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani
2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri
3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaandaa wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani
Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.
Huyo katibu mkuu wa CHADEMA uanachama tu ana miaka miwili,Uzoefu wa uongozi ndani ya Chama na serikali SIFURI.