Jibaba277
Member
- Feb 27, 2016
- 20
- 8
Dah we jamaa. Huyo hakimu anaitwa nani? Halafu hao mahakim walikuw w kpindi hcho sio karne hiiKuna hakimu ndani ya Biblia aliwahi mhukumu Yesu asulubiwe kwa kuogopa umati wa watu na akasulubiwa kweli

msisimko ndio nini>?Yaani wameona shughuli ya kumpata katibu haijapata msisimko wa kutosha wanaamua watokee huku!
Serikali sikivu na jeshi la polis sikivu kwa ccm nimekosea hakuna jeshi linalojihusisha na siasa hao ni wafuas wa ccm waliovaa nguo za polis kwa kod za umma kutekeleza matakwa ya mtawala wao hawako kwa ajili ya haki wao ni wabomoaj wa hakiKesi ya kupinga ushindi wa STANSLAUS MABULA iliyofunguliwa na Mh. E. Z. WENJE imeendelea leo.
Upande wa wajibu mashtaka waliweka pingamizi kwenye HATI YA KIAPO ya Shahidi namba Tatu ambaye ni Mh. E. Z. WENJE hivyo kuiomba Mahakama iwape masaa mawili ya kuitolea ufafanuzi.
Baada ya hilo kujitokeza Mahakama ilihairishwa kwa masaa mawili yaliyoombwa, saa Nane mchana Mahakama iliketi upya na kupokea hoja bishwaniwa juu ya HATI KIAPO.
Baada ya pande zote mbili kutoa hoja zake, Mh. Jaji alihairisha kesi hiyo mpaka trh 16 March, 2016 saa tatu asubuhi ambapo aliweka wazi Mahakama kuwa suala hilo haliondoi uhalali wa Mh. E. Z. WENJE kutoa ushahidi wake.
Hivyo inatarajiwa trh 16 March, 2016 Shahidi namba tatu Mh. E. Z. WENJE atatoa ushahidi wake.
Nje ya mahakama wafuasi na wapenzi wa CDM walikuwa wengi sana waliokuja kusikiliza kesi hiyo, hivyo kulazimika Mwanasheria ERICK MUTTA kutoa ufafanuzi wa kilochoendelea mahakamani na kuwaomba wafuasi na wapenzi hao wa CDM kutawanyika kwa AMANI.
Katika hali ya kushangaza Askari wa Jeshi la Polisi waliziba njia nakuanza kuwashambulia kwa virungu na mbwa hata kupelekea majeraha makubwa kwa baadhi ya wafuasi hao, Hali iliyopelekea Mh. E. Z. WENJE Kuingilia kati na mabishano makubwa kuzuka, ilikuwa ni dhahama kubwa na mpaka hivi sasa Mwanachama mmoja ambaye jina Lake halijapatikana amekimbizwa Hospitali kwa Gharama za Mh. E. Z. WENJE.
TUKUTANE TENA MAHAKAMANI JUMATANO trh 16 March, 2016 saa tatu asubuhi.
ERICK MUTTA.
MWANASHERIA,
Bavicha Nyamagana.
MWANZA
16 Marchi, 2016.
Teh teh teh tehSerikali sikivu na jeshi la polis sikivu kwa ccm nimekosea hakuna jeshi linalojihusisha na siasa hao ni wafuas wa ccm waliovaa nguo za polis kwa kod za umma kutekeleza matakwa ya mtawala wao hawako kwa ajili ya haki wao ni wabomoaj wa haki
Amekuja kuizika ccmIla hapo sina uhakika kama haki itendeka kwasababu naona mr Hapa kazi amekuja lasmi kwaajili ya kuupoteza upinzani.
Ccm ni ile ileNahisi itafika muda watanzania wataanza kusema bora ya waliopita
Kaka tushapambana sana kuhakikisha ccm inatoka madarakani lakini tatizo walituzidi kwa tikitakaCcm ni ile ile
Maana mnajua mlichofanya siyo?Wenje atashinda kesi
Kafulila atashinda kesi
Kama hupendi lamba chumvi
Usokate tamaa kilakitu kinamwishoKaka tushapambana sana kuhakikisha ccm inatoka madarakani lakini tatizo walituzidi kwa tikitaka
Mimi ni moja ya watu ambae Kura yangu haijaenda ccm.
Mbona huelewekiHawezi kuupoteza hana ubavu huo kwani jipya gani kalifanya?
Kesi ya kupinga ushindi wa STANSLAUS MABULA iliyofunguliwa na Mh. E. Z. WENJE imeendelea leo.