Mwanza yakumbwa na uhaba wa maji

Mwanza yakumbwa na uhaba wa maji

I hate hizi lugha za upigaji za eti kuleta mradi. Go and learn from Botswana, hawana ziwa na mito ni ya kutafuta kwa tochi ila maji ya kunywa unayapata bombani.

Hatuhitaji miradi, tunahitaji a respondible government (sio CCM) ambayo itaendeleza nchi in its totality, sio kuleta kamradi hapa na pale ili kuwadanganya watu.
Nshafahamu kipi kinakusumbua sasa.
 
Mwanza maji yapo jirani namaanisha chanzo cha maji kipo tena cha kuaminika kuliko vyote nchi hii lakini asilimia kubwa ya eneo la Mwanza hakuna maji na hata maeneo ambayo kuna miundo mbinu ya maji basi maji yapo lakini sio ya uhakika. Ukiacha maeneo ya mjini kati na viunga vyake hapa namaanisha maeneo ya Nyamagana, Pamba, Igogo, Mabatini, Kirumba, Ghana, Mkuyuni na Butimba angalau maeneo haya yana uhakika wa maji kwa zaidi ya 70% ila maeneo mengine mengi maji hayana uhakika na hata kama kuna miundombinu ya maji lakini maji yanapatikana si kwa zaidi ya 30% - 40%. Maeneo haya ni kama kata za Mecco, Nyakato, Igoma, Kishiri mpaka Kisesa na upande mwingine ni Nyegezi, Mkolani, Buhongwa mpaka Usagara na upande mwingine ni kuanzia maeneo ya Pasiansi mpaka Kayenze huko. Kwa ujumla eneo la Mwanza halikustahili hiki kwani ndipo mji mkubwa wa pili kwa nchi na kuna chanzo kikubwa na cha uhakika cha maji nchi hii. Usishangae Mwanza ndugu yangu maana ziwa hili limezunguka maeneo kadhaa zaidi ya Mwanza kama vile Musoma na Bukoba nako hali ni ileile tena sijui afadhali ya Mwanza. Hapa kuna tatizo, bado hatujawa na nia ya dhati ya kutoa huduma ya maji kwa wananchi ikizingatiwa kuwa maji ndio kitu cha muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu lakini bado upatikanaji wake ni mgumu sana. Achilia mbali maeneo ya mijini huko vijijini ndiko balaa tupu. Miradi ya maji inatekelezwa kisiasa sana jambo linalopelekea kutokuleta tija kwa wananchi mfano huwezi kuwaambia wananchi wa kanda ya ziwa kuwa tunashughulikia tatizo la kuwaletea maji kwa kuwapa reference ya maji kufika mikoa ya Shinyanga na Tabora kuelekea Singida bado kanda ya ziwa watakuona huna maana. Kwanini tusianze pale kwenye chimbuko yaani tukamaliza tatizo la maji kwanza kwenye ukanda huu wa chanzo cha ziwa Victoria yaani maeneo yote ya mijini mpaka vijijini yakawa na maji ya kutosha ndipo tukayapeleka mbali? Wanasiasa wa Mwanza na maeneo ya jirani wamekuwa wakitoa ahadi za uongo za kuwapatia wananchi maji kwa sababu wanajua kilio kikubwa ni maji pamoja na umeme na miundombinu ya usafiri lakini mtekelezaji ambaye ni serikali hatekelezi. Mimi niwaase wanasiasa hawa ( wabunge na madiwani ) waache kuwahadaa wananchi bali waungane nao kudai haki hii usituahidi wakati sio jukumu lako na uwezo binafsi huna. Mimi ni mkazi wa Mwanza kwa kiongozi (mwasiasa) atakayekuja na sera za namna hiyo ajiandae nitamtwanga maswali na kumuaibisha kwenye mkutano wake hadharani maana "tumewachoka" kuwafanya wananchi mandondocha wenu huku nyie mkineemeka. Maana mkienda huko bungeni mnapata mahela tu ya watanzania na maendeleo mnajipelekea nyie tu mfano ni mbunge wa sasa Nyamagana anajijengea yeye barabara ya kwenda kwake huku akiacha barabara zenye tija zaidi hazieleweki mfano barabara ya Buhongwa - Kishiri. Nawasihi wananchi tuamke sasa tukatae kuwa mitaji ya hawa wanasiasa wasio na uwezo wa kutusaidia kupata maendeleo. Acheni mapenzi ya vyama kama mapenzi ya vilabu vya soka kwasababu siasa ni maisha yetu tusiwachague viongozi wetu kwa sababu ya itikadi zetu bali uwezo na nia thabiti ya kuleta maendeleo.
Umeongea ukweli japo inauma sana, kinachotuponza watanzania ni ubinafsi na woga.

Inawezekana vipi wana Mwanza wakawa kimya na mji hauna maji. Huku nnakoishi kila mtu anachukua madumu anakwenda kilomita kadhaa kutafuta maji halafu anasema anaishi kwenye jiji.

Kwenye kampeni hizi lazima tuwahoji na tuwaadhibu kwa kutowapa kura japo wana uwezo wa kupora, ila tuwaoneshe kuwa we are sick and tired of CCM
 
Hapa dawa yao ni kujitokeza hadharani kwenye mikutano yao na kuwahoji hadharani mpaka waaibike. Sipendi wanasiasa waongo waongo ambao sasa hivi wanajificha kwenye mwamvuli wa kumsifia bwana wao.
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
CCM ndio inayonisumbua, najuta kwanini mkoloni aliondoka, tusingekuwa hapa tulipo.
Ahaaa, sina uhakika kama aliondoka!. Binasfi nahisi bado yupo, ila kabadirisha approach tu
 
Mwanza maji yapo jirani namaanisha chanzo cha maji kipo tena cha kuaminika kuliko vyote nchi hii lakini asilimia kubwa ya eneo la Mwanza hakuna maji na hata maeneo ambayo kuna miundo mbinu ya maji basi maji yapo lakini sio ya uhakika. Ukiacha maeneo ya mjini kati na viunga vyake hapa namaanisha maeneo ya Nyamagana, Pamba, Igogo, Mabatini, Kirumba, Ghana, Mkuyuni na Butimba angalau maeneo haya yana uhakika wa maji kwa zaidi ya 70% ila maeneo mengine mengi maji hayana uhakika na hata kama kuna miundombinu ya maji lakini maji yanapatikana si kwa zaidi ya 30% - 40%. Maeneo haya ni kama kata za Mecco, Nyakato, Igoma, Kishiri mpaka Kisesa na upande mwingine ni Nyegezi, Mkolani, Buhongwa mpaka Usagara na upande mwingine ni kuanzia maeneo ya Pasiansi mpaka Kayenze huko. Kwa ujumla eneo la Mwanza halikustahili hiki kwani ndipo mji mkubwa wa pili kwa nchi na kuna chanzo kikubwa na cha uhakika cha maji nchi hii. Usishangae Mwanza ndugu yangu maana ziwa hili limezunguka maeneo kadhaa zaidi ya Mwanza kama vile Musoma na Bukoba nako hali ni ileile tena sijui afadhali ya Mwanza. Hapa kuna tatizo, bado hatujawa na nia ya dhati ya kutoa huduma ya maji kwa wananchi ikizingatiwa kuwa maji ndio kitu cha muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu lakini bado upatikanaji wake ni mgumu sana. Achilia mbali maeneo ya mijini huko vijijini ndiko balaa tupu. Miradi ya maji inatekelezwa kisiasa sana jambo linalopelekea kutokuleta tija kwa wananchi mfano huwezi kuwaambia wananchi wa kanda ya ziwa kuwa tunashughulikia tatizo la kuwaletea maji kwa kuwapa reference ya maji kufika mikoa ya Shinyanga na Tabora kuelekea Singida bado kanda ya ziwa watakuona huna maana. Kwanini tusianze pale kwenye chimbuko yaani tukamaliza tatizo la maji kwanza kwenye ukanda huu wa chanzo cha ziwa Victoria yaani maeneo yote ya mijini mpaka vijijini yakawa na maji ya kutosha ndipo tukayapeleka mbali? Wanasiasa wa Mwanza na maeneo ya jirani wamekuwa wakitoa ahadi za uongo za kuwapatia wananchi maji kwa sababu wanajua kilio kikubwa ni maji pamoja na umeme na miundombinu ya usafiri lakini mtekelezaji ambaye ni serikali hatekelezi. Mimi niwaase wanasiasa hawa ( wabunge na madiwani ) waache kuwahadaa wananchi bali waungane nao kudai haki hii usituahidi wakati sio jukumu lako na uwezo binafsi huna. Mimi ni mkazi wa Mwanza kwa kiongozi (mwasiasa) atakayekuja na sera za namna hiyo ajiandae nitamtwanga maswali na kumuaibisha kwenye mkutano wake hadharani maana "tumewachoka" kuwafanya wananchi mandondocha wenu huku nyie mkineemeka. Maana mkienda huko bungeni mnapata mahela tu ya watanzania na maendeleo mnajipelekea nyie tu mfano ni mbunge wa sasa Nyamagana anajijengea yeye barabara ya kwenda kwake huku akiacha barabara zenye tija zaidi hazieleweki mfano barabara ya Buhongwa - Kishiri. Nawasihi wananchi tuamke sasa tukatae kuwa mitaji ya hawa wanasiasa wasio na uwezo wa kutusaidia kupata maendeleo. Acheni mapenzi ya vyama kama mapenzi ya vilabu vya soka kwasababu siasa ni maisha yetu tusiwachague viongozi wetu kwa sababu ya itikadi zetu bali uwezo na nia thabiti ya kuleta maendeleo.

KEY WORD
Miradi ya maji inatekelezwa kisiasa sana jambo linalopelekea kutokuleta tija kwa wananchi mfano huwezi kuwaambia wananchi wa kanda ya ziwa kuwa tunashughulikia tatizo la kuwaletea maji kwa kuwapa reference ya maji kufika mikoa ya Shinyanga na Tabora kuelekea Singida bado kanda ya ziwa watakuona huna maana.
 
Dah jamn toka tumengia uchumi wa kati maji yamekuwa shida sana yan tupo karibu na source ya kuamnika ya maji lakn maji yamekuwa tatzo kubwa sana wafanyabiashara wanaohitaj maji katika biashara zao wanarud nyuma......... Maji ni uhai mamlaka zinazohusika mnasubr had mh. Rais afanye ziara ndo watu watoe kero zao viongoz achen kutegea na kukweoa majukum yenu....
 
Naunga mkono hoja, Mwanza maji ni ya shida sana, mfano mtaa wa mecco maji yamekatika wiki nzima, Buswelu maji yanamaliza zaidi ya wiki hayatoki, Buhongwa hali iko hivyohivyo.

Kwani mkisema kuna hitilafu imetokea/service kuna tatizo? Mjinga gani ataamini mwanza kuna uhaba wa maji! Chaggadema mnatabu sana
 
Mimi nipo Buswelu, njoo kesho uone hiyo adha ya maji.

Nna mwezi nyumbani kwangu sijaona tone la maji bombani.
Mimi nyumbani ni Igoma,nimepewa taarifa hawana maji hii week ya tatu sasa
 
Kwani mkisema kuna hitilafu imetokea/service kuna tatizo? Mjinga gani ataamini mwanza kuna uhaba wa maji! Chaggadema mnatabu sana
Mambo ya uchumi wa kati hayo. Mwanza hakuna maji sio suala la hitilafu. Nimefika Mwanza tangu mwaka jana mwezi wa sita mpaka leo ni hitilafu?

Who do you think we are you CCM hooligans?
 
Lake zona unafikiri kanda ya kaskazini!! Hilo ziwa lina kazi gani pale kama sio kuwahudumia wana mwanza, Musoma, Bukoba, Shinyanga na Tabora!! Uhaba maana yake wameishiwa maji/ziwa limekauka. Fafanua
 
Tatizo mwauwaza wanapobadili mabomba wanakata mabomba ya watu bila kurudishia.
 
Back
Top Bottom