for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,396
- 4,447
Hapo juu ya mabega umebeba boga huna akili maneno ya Dada zako uani unayaleta kibaraza kwa maselaPumbavu, hatuzungumzii ziwa, silly bugger
Hapo juu ya mabega umebeba boga huna akili maneno ya Dada zako uani unayaleta kibaraza kwa maselaPumbavu, hatuzungumzii ziwa, silly bugger
Mie nilikua nyasaka. YalikuwepoWangari Maathai huko ulipo hamna maji bado?
Asante kwa uungwana ubarikiwe👏.Mie nilikua nyasaka. Yalikuwepo
Acheni kulia lia nyie kila kitu Mwanza MwanzaTangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!
WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!
Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!
Viva Jiwe! Viva CCM! Viva Awamu ya viwanda!
Machadema yameanza siasa zao za kutunga uongo ! Ooh faru john katekwa.
Kwa maelezo yao sio uhaba ni tatizo, kwa taarifa ya mamlaka ya maji mwanza tatizo limesababishwa na tanescoMwanza hakuna uhaba Wa maji,
Acha siasa za mihemuko
Maji ni one of the basic needs, haiwezekani toka uhuru Mwanza ikose maji na kuna ziwa lina maji mengi.Sijui kuhusu Ilemela ila Nyamagana nina taarifa maji yapo.Sijakataa kwamba hayakukatika ila yasharudiii siku nyiingi!
Cheeky monkeyHapo juu ya mabega umebeba boga huna akili maneno ya Dada zako uani unayaleta kibaraza kwa masela
Taarifa hii ni ya mwezi wa saba ila tatizo la maji Mwanza ni la miaka mingi tu.TAARIFA: *HITILAFU YA BOMBA LINALOPELEKA MAJI KWENYE TANK LA BUGANDO-BUGARIKA*
Ndugu Mteja,
Kumetokea hitilafu ya Bomba kubwa linalopeleka maji maeneo ya Bugarika na hii imetulazimu kufunga maji kutoka kwenye tenki la Nyashana ili kuzuia upotevu wa maji.
Kufuatia hali hii, maeneo ya *Bugando, Bugarika, Igelegele, Nyakurunduma, Bendera Tatu, Nyakato, Igoma, Nyamhongolo, Kisesa, Mahina, Buswelu, Kishiri na Kanyerere* yataathirika hadi hapo tutakapodhibiti hitilafu hiyo.
Tayari wataalam wapo eneo la tukio, huduma itarejea mara baada ya kukamilisha matengenezo.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Upatapo taarifa hii tafadhali mfahamishe na mwingine.
Imetolewa Tarehe *07 Julai, 2020* na: -
………………………………….
*OFISI YA UHUSIANO*
*MWAUWASA*
Ndio ujue tambo za CCM ni kwa kuwa wanatuona mazezeta.Mwanza ziwa limejaa maji ila kuna mgao wa maji
Sio kweli, mfumo wa maji ni mbovu, kuna maeneo maji hayafiki kama Buswelu, zimejengwa nyumba za kisasa ila maji hakuna.Kwa maelezo yao sio uhaba ni tatizo, kwa taarifa ya mamlaka ya maji mwanza tatizo limesababishwa na tanesco
Mtaletewa mradi hapo karibuni.Maji yapo sema muda mwingine ndo kusuasua.Maji ni one of the basic needs, haiwezekani toka uhuru Mwanza ikose maji na kuna ziwa lina maji mengi.
CCM hawapo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, wapo kwa manufaa yao na familia zao.
TAARIFA: *HITILAFU YA BOMBA LINALOPELEKA MAJI KWENYE TANK LA BUGANDO-BUGARIKA*
Ndugu Mteja,
Kumetokea hitilafu ya Bomba kubwa linalopeleka maji maeneo ya Bugarika na hii imetulazimu kufunga maji kutoka kwenye tenki la Nyashana ili kuzuia upotevu wa maji.
Kufuatia hali hii, maeneo ya *Bugando, Bugarika, Igelegele, Nyakurunduma, Bendera Tatu, Nyakato, Igoma, Nyamhongolo, Kisesa, Mahina, Buswelu, Kishiri na Kanyerere* yataathirika hadi hapo tutakapodhibiti hitilafu hiyo.
Tayari wataalam wapo eneo la tukio, huduma itarejea mara baada ya kukamilisha matengenezo.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Upatapo taarifa hii tafadhali mfahamishe na mwingine.
Imetolewa Tarehe *07 Julai, 2020* na: -
………………………………….
*OFISI YA UHUSIANO*
*MWAUWASA*
Ule mtambo wa Capripoint umeshachoka, kuubadili hawabadili kila siku kuurekebisha tu, mji wa mwanza umeshakuwa mkubwa mahitaji ya maji yamekuwa makubwa, wanang'ang'ana na mtambo wa mwaka 40Pamoja na ziwa victoria kuwa mdomoni ? Tatizo ni mitambo. Maana chanzo cha maji Mungu ametupa wana Mwanza. Naimagine ziwa lisingekuwepo hali ingekuwa worse bin disastor.
I hate hizi lugha za upigaji za eti kuleta mradi. Go and learn from Botswana, hawana ziwa na mito ni ya kutafuta kwa tochi ila maji ya kunywa unayapata bombani.Mtaletewa mradi hapo karibuni.Maji yapo sema muda mwingine ndo kusuasua.