Mwanza University yafungiwa na TCU, wanafunzi wahamishiwa CUHAS

Mwanza University yafungiwa na TCU, wanafunzi wahamishiwa CUHAS

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Serikali imekifungia chuo cha Mwanza university wanafunzi wadai pesa za takribani million 73 ambapo uongozi ulidai zitahamishiwa Bugando..

Kama mnavojua Watanzania njaa sana hiki chuo kuna wanafunzi wamepachikwa tu not qualified to study medicine hukoo Bugando watapokelewa na nani?

It's better wakapewa pesa zao wafanye mambo mengine.

Hilo eneo linamkosi St. Mary's walipakimbia na hawa tena wamepakimbia.

Chuo kipo Nyamhongolo
 
A toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
Duuh!
 
A toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
Force= Rate of change of momentum= M( v2-v1)/t
 
TCU guide book inasemaje kuhusu vigezo vya kusoma udaktari?

Halafu nani kakwambia ukiwa na Division 2 ustahili kusoma udaktari?
Huo udaktari wawapi lbd udaktari vyuo vya serikali ni division 1 ya 3 hadi 6 saba labda wakuhurumie tu sasa wewe unaposema div 2 asome MD degree nayo ijua mimi haiwezekani lbd utafutilize vyuo vya uchocholoni huku km hivi vya MZ
 
Okay Sawa, usitumie nguvu nyingi sana..
Hebu tunaomba weka screenshot ya TCU yenye kuonesha minimum entry ya kusoma digrii ya udaktari.
Hapo ndo tutajua kama je mwenye Div 2 anaruhusiwa au haruhusiwi
 
Rate of change in Momentum = 15(30-0)/8
Somo la leo
Hiko kiunivesity uchwara ndio toy car, leo kimegonga ukuta, na mdau amesha tukokotolea ukubwa wa athari za yaliyotokea, na wewe umemalizia na mabadilko yatakayo wakuta wanafunzi waliokuwa wanasoma hapo
 
Huo udaktari wawapi lbd udaktari vyuo vya serikali ni division 1 ya 3 hadi 6 saba labda wakuhurumie tu sasa wewe unaposema div 2 asome MD degree nayo ijua mimi haiwezekani lbd utafutilize vyuo vya uchocholoni huku km hivi vya MZ
Screenshot_20260226-220429_Drive.jpg
 
Hiyo hapo juu ni TCU guide book ya mwaka wa masomo 2025/2026.

Inaonesha minimum qualifications za mtu kusoma MD ni angalau D kwa physics chemistry na biology.

Hiyo ni div 2 ya point 12.

Kumbe kwa mujibu wa TCU aliyepata div 2.12 anastahili kusoma MD.

Sasa wewe Think2 kusema mtu aliyepata div 2 astahili kusoma MD umetumia TCU guide book gani?
 
Back
Top Bottom