Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

Mkutano umeisha salama katika viwanja vya magomeni Mwanza,wanamwanza wasema hawataki mazowea na sisi emu.Mtaniwia Radhi picha hizo nizacmu.Nawakilisha. Colortouch studio045.jpg Colortouch studio048.jpg Colortouch studio047.jpg
 
Tanzania ingepata watu wenye akili,uelewa,mawazo na mtazamo kama wa Lissu kiukweli nchi yetu ingekuwa pazuri!
 
O
Kufika Mwanza ni kitendo cha lisaa limoja na nusu tu frm dar. Nipo huku naongeza masaa ya fani yangu. Si unajua tena mambo ya requirements?
Mwanza pako salama kabisa
Rejao, masaa yanayoongezwa huku ni ya profession ya wahasibu siyo ya vibaraka wa mafisadi wa chukua chako mapema. Sijui kama unafanana na avatar yako ili kesho nikutafute. na kama upo NBAA basi una sifa zote za kuwa struck off the NBAA register.
 
Comrade Mzee,

Unajua Tindu Lissu anashangaza sana kwa nini hizo posho anazopekea Mwanza na gharama wanazotumia kuandaa maandamano..

Kwa nini wasinunue magunia mahindi na mahragwe wakagawe jimboni kwake Singida watu wanakufa njaa..

Hivi ili hawalioni hawa magwanda

kwa nini hujahoji mabilioni yaliyotumika igunga?
 
Huyu mze sifa zitamponza. Matatizo ya jimbo lake anayatatua muda gani?..

2015 sio mbali.

acha kuishi kwa hiasia bila uchambuzi sahihi za kisiasa, na pia usipende kutumwa useme upuuzi kwenye jf
 
Rejao, masaa yanayoongezwa huku ni ya prefession ya wahasibu siyo ya vibaraka wa mafisadi wa chukua chako mapema. Sijui kama unafanana na avatar yako ili kesho nikutafute. na kama upo NBAA basi una sifa zote za kuwa struck off the NBAA register.
Hahaha...kila mahali mimi nipo. Muulize Mr Maneno kuhusu rejao.
 
Ninavyo wajua CDM lazima watakwenda kuwachukuwa wale wavuvi wa Dagaa pale mwaloni na wahuni wa kabuoro kule milimani waje kujaza kale kauwanja ka mpira, na wale machinga wanaoshinda hapo.Hizo ndiyo tabia zenu Magamba Cdm hatunaga mambo ya kishamba kama hayo!
 
Comrade Mzee,

Unajua Tindu Lissu anashangaza sana kwa nini hizo posho anazopekea Mwanza na gharama wanazotumia kuandaa maandamano..

Kwa nini wasinunue magunia mahindi na mahragwe wakagawe jimboni kwake Singida watu wanakufa njaa..

Hivi ili hawalioni hawa magwanda

Mbona serikali ya ccm iliapa kwamba hakuna mtanzania atakaye kufa njaa ??? Au hadhina yote iliishia Igunga??.
 
Tanzania ingepata watu wenye akili,uelewa,mawazo na mtazamo kama wa Lissu kiukweli nchi yetu ingekuwa pazuri!
 
kilichojiri huko Mwanza ni kipi? Jamani hawa Ritz aka Ridhiwan JK na Rejao haina haja ya kujibizana nao maana thread nzinma wamechakachua...
Updates za Mwanza na mkutano wa Tundu Lissu.....
 
Sasa wakuu mlioko mwanza mmekubali kuburutwa na ritz na rejao, wao wako kazini na kazi yao ndo hii ya kuhamisha mada.

Rudini kwenye mada, Tundu Lisu amezungumza nini huko mwanza? Picha tumeona sasa tunasubiri kusikia ujumbe alioutoa huko mwanza.
 
Nipo mwanza..but nipo kiproffessional zaidi. Ngoja nimalizane na hapa PPF then niende kusikiliza hizo pumba za huyu jamaa. Sijui ataanzisha tena maandamano!!

Unaipenda sana kazi yako mkuu!! Mkuu nina choo changu kimejaa,naomba upitie hapa Dodoma wakati unarudi Dar....Maana hii proffessional ya kuzibua vyoo unaimudu sana from Dar-Mwanza lol!!
 
Unaipenda sana kazi yako mkuu!! Mkuu nina choo changu kimejaa,naomba upitie hapa Dodoma wakati unarudi Dar....Maana hii proffessional ya kuzibua vyoo unaimudu sana from Dar-Mwanza lol!!
Kesho mapema kabisa nitakuwa hapo...ni maeneo gani? Kisasa, Nkuhungu, Area A,C,au D, Chaduru, uhindini, chang'ombe au mazengo?
 
Back
Top Bottom