Mwanza Safi, hakuna Machinga yeyote mtaani

Umeona mwz mzee amesema warudi maeneo yao.
 
Umeona mwz mzee amesema warudi maeneo yao.
Lakini kuna mtego. Kwamba wafuate sheria!
Kupanga bidhaa sehemu zisizo ruhusiwa ni kwenda kinyume cha sheria za nchi!
Watafurushwa tu.
 
Lakini kuna mtego. Kwamba wafuate sheria!
Kupanga bidhaa sehemu zisizo ruhusiwa ni kwenda kinyume cha sheria za nchi!
Watafurushwa tu.
Kumbe na yeye
Ana hurumaa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sio kila jambo ni lakufuata sheria wakati mwingine busara na hekima zina takiwa moja ya sifa ya kiongozi ni kuwa na busara na hekima kama ukifuata sheria na uka visahau hivi vitu viwili hekima na busara haufai kuwa kiongozi sifa ya kiongozi sio kufuata sheria na taratibu zilizo wekwa ndio maana kuna kuwa na washauri wa kiongozi awa hutumia busara hekima na utashi walio pewa na Mungu katika kumshauri kiongozi wao
 
Tatizo watu wanashindwa kutofautisha kati ya UONGOZI na UTAWALA. Uongozi unahitaji hekima na busara, Utawala utahitaji kuzijua na kuzishika sheria kama zilivyowekwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…