Mkuu hebu fafanua kwa undani. Naimiss sana MwanzaAliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..
Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.
Namba inasomeka kwa watanzania wote!
Ndio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepoteaAliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..
Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.
Namba inasomeka kwa watanzania wote!
ha ha ha ha ha ha ha ha!! labda kwa wengine mimi ndo inapandaNdio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea
he! wale machinga wa makoroboi wametolewa..?Mie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!
yaaani hakuna mtu! na wale waliokuwa wamevuta vibaraza vimetolewa, yaani nimeshangaa kumbe Makoroboi ni pana! mjini hakuna mtu barabara zote za Makongoro, Kenyatta na Nyerere zote kweupeeee. Hii fatiki imefanyika kwa wilaya zote mbili Ilemela na Nyamagana.he! wale machinga wa makoroboi wametolewa..?
hahhaahha hiyo sio rahisi ipoteee, utopeza hamu ya kula ugali but sio uumbajiNdio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea
Hahahahaaaaaaaaaaaa umeonaeeeNdio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea
Tujipange kupambana na vibaka!yaaani hakuna mtu! na wale waliokuwa wamevuta vibaraza vimetolewa, yaani nimeshangaa kumbe Makoroboi ni pana! mjini hakuna mtu barabara zote za Makongoro, Kenyatta na Nyerere zote kweupeeee. Hii fatiki imefanyika kwa wilaya zote mbili Ilemela na Nyamagana.
Umekaririshwa vyama! Utakalia kukakariri hadi maji yatakapokufika shingoni. Tumia ufahamu wako sawasawa kujua kinachoongelewa!Machadema bana! Sasa swala la mipango miji na kusoma namba vina mahusiano gani? Akili zenu kama za ng'ombe tu.
Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!Tujipange kupambana na vibaka!
Kaka ni shida! Igoma naona bado hawajawafikia ila nasikia wanakuja hata huko!Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!
mie ni mwanamke wee Tutor B, hahahahahahahKaka ni shida! Igoma naona bado hawajawafikia ila nasikia wanakuja hata huko!
Ndio watakuja hadi Igoma, Nyakato National tayari, wanaenda hadi Buhongwa , Airport na huko nadhani watafika Nyamhongolo.Kaka ni shida! Igoma naona bado hawajawafikia ila nasikia wanakuja hata huko!