Mr Econ
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 494
- 111
81,700-mabula na wenje 79,000 ...
mwosha huoshwa
81,700-mabula na wenje 79,000 ...
baada ya kupigwa uppercut chembe kidevu...
kumbukeni mkapa yupo mwanza
huyu mkapa hatari sana.
kumbukeni mkapa yupo mwanza
Hivi hawa Mabula, wa Nyamagana na Ilemela ni ndugu au vipi? I'm just curious.......
Huyu mzeee kaokoa jahazi la CCM kiume yani utake usitake hata kama matokeo yako hivi yanawekwa vile :eek2:
Duuu kwa kweli hata siamini nini kimetokea kwa wenje,
hinecy sawa huenda hakuwa makini sana jimboni hasa baada ya yale matatizo ya afya ya kupigwa mapanga 2011 pamoja na machemli... Lakini wenje hata sielewi wapi hakujipanga sawa jimboni
, lakini pia naona hapohapo pia alikuwepo mama/mdada wa cuf naye alikuwa anagombe, uzembe ule ule wa segerea kwa mtatiro umejitokeza na hapa nyamagana/,,,,,,,,
Hivi yule Machemli wa Ukerewe alikuwa anagombea?. Vipi kapita?.Vyama vya Ukawa kung'ang'ania jimbo moja imewagharimu sana...
Hadi sasa wanapoteza majimbo mawili kipumbavu pumbavu tu...
Na inachosikitisha ni hao watu wanaokosa kuingia bungeni ni watu makini, Mtatiro na Wenje
Hivi yule Machemli wa Ukerewe alikuwa anagombea?. Vipi kapita?.
Hahaaa....Sasa nani alikuwa anapeperusha bendera ya Chadema huko?. Vipi nao bado wanahakiki hesabu?.Yule jamaa alipigwa chini kura za maoni Chadema...
Hahaaa....Sasa nani alikuwa anapeperusha bendera ya Chadema huko?. Vipi nao bado wanahakiki hesabu?.
Gap dogo Sana n 81elf kwa 79 elf
Mkuu wenje kaaashinda ?
Gap dogo Sana n 81elf kwa 79 elf