Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

12190104_1005427176187943_6575192870677892177_n.jpg
 
Nimeona matokeo, CCM,89,017, CHADEMA 79,017, ni nadra namba kufanana hivyo, kwa waliosoma Statistics watanielewa ninachosema...,kwa uchaguzi uliokuwa na mchuano mkali haiwezekani wapiga kura wawe balanced hivyo.

Mods usiunganishe huu uzi, uache peke yake uonekane peke yake

Ni kama wamefungia mkono hiviii
 
Nimeona matokeo, CCM,89,017, CHADEMA 79,017, ni nadra namba kufanana hivyo, kwa waliosoma Statistics watanielewa ninachosema...,kwa uchaguzi uliokuwa na mchuano mkali haiwezekani wapiga kura wawe balanced hivyo.

Mods usiunganishe huu uzi, uache peke yake uonekane peke yake

ilitakiwa yaweje ili iwe sahihi?
 
Kukosekana kwa wanafunzi wa saut kumepoteza kura zaidi ya elfu 8,

kuhamia masha ukawa kumempaka shombo na kuonekana ni genge la mafisadi.

Kukimbia mdahalo baada ya kutuhumiwa kula hela za wamachinga hiyo ilikuwa teke la mwisho.

Ila wenje kamalizwa na walimu walipo mgomea kuondoa michango ya madawati wakati aliwambia akiwa mbunge michango ya madawati haitakuwepo tena.

Uamuzi wa kuuza clinic ya wajawazito ya makongoro hiyo ndo ilikuwa sumu kubwa ya chadema mwanza, kumbuka hiyo clinic ndo hospital ya kwanza kujengwa na wajerumani nchini.

imi ni mwana UKAWA damudamu, asante kwa analyisis yako.....waliuza kliniki ya Makongoro...na kama haitoshi ile kliniki ya Milongo ilijengwa kwa mabilioni huku thaman halisi ya jengo ikiwa ya chini kabisa. Malipo ni hapahapa duniani.
M
 
Mpwa ukisema imeangukia ni kama vile imekua bahati mbaya vile, hii tumeichukua kwa makusudi kama tutakavyochukua URAIS baadae leo au kesho.
 
ukerewe hawana habari za kikabila wale..huyo jamaa kapiga kazi sanaaa kipindi akiwa mwenyekiti wa halmashauri ya ukerewe....wananchi wamemchagua ..sio wale wenzetu wengine waliopiga kura za kikabila
 
ukerewe hawana habari za kikabila wale..huyo jamaa kapiga kazi sanaaa kipindi akiwa mwenyekiti wa halmashauri ya ukerewe....wananchi wamemchagua ..sio wale wenzetu wengine waliopiga kura za kikabila

Hawa watu ujue wana hasiri ya musoma kwao mambo ya kikabila hakuna huko
 
Back
Top Bottom