Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,627
2,000
Duuu kwa kweli hata siamini nini kimetokea kwa wenje,

hinecy sawa huenda hakuwa makini sana jimboni hasa baada ya yale matatizo ya afya ya kupigwa mapanga 2011 pamoja na machemli... Lakini wenje hata sielewi wapi hakujipanga sawa jimboni

, lakini pia naona hapohapo pia alikuwepo mama/mdada wa cuf naye alikuwa anagombe, uzembe ule ule wa segerea kwa mtatiro umejitokeza na hapa nyamagana/,,,,,,,,ushindi ni kwa mabula anatangazwa sasa hivi na mkurugenzi wa uchaguzi jimbo la nyamagana kura 81,700 na wenje 79,000 na ushee hivi....
 
Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
965
0
Mabula wa ccm kura 81770 na wenje chadema kura 79810 ccm imechukua majimbo yote ilemela na nyamagana. Hayo ndio matokeo rasmi yakiyotangazwa.... Saa7 usiku huu
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
54,560
2,000
Vyama vya Ukawa kung'ang'ania jimbo moja imewagharimu sana...

Hadi sasa wanapoteza majimbo mawili kipumbavu pumbavu tu...

Na inachosikitisha ni hao watu wanaokosa kuingia bungeni ni watu makini, Mtatiro na Wenje

Duuu kwa kweli hata siamini nini kimetokea kwa wenje,

hinecy sawa huenda hakuwa makini sana jimboni hasa baada ya yale matatizo ya afya ya kupigwa mapanga 2011 pamoja na machemli... Lakini wenje hata sielewi wapi hakujipanga sawa jimboni

, lakini pia naona hapohapo pia alikuwepo mama/mdada wa cuf naye alikuwa anagombe, uzembe ule ule wa segerea kwa mtatiro umejitokeza na hapa nyamagana/,,,,,,,,
 
Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,180
2,000
Vyama vya Ukawa kung'ang'ania jimbo moja imewagharimu sana...

Hadi sasa wanapoteza majimbo mawili kipumbavu pumbavu tu...

Na inachosikitisha ni hao watu wanaokosa kuingia bungeni ni watu makini, Mtatiro na Wenje
Hivi yule Machemli wa Ukerewe alikuwa anagombea?. Vipi kapita?.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
54,560
2,000
Hahaaa....Sasa nani alikuwa anapeperusha bendera ya Chadema huko?. Vipi nao bado wanahakiki hesabu?.

Majimbo ya Mwanza yalikuwa hivi;

MWANZA
Ukerewe---CDM
JOSEPH MKUNDI (Huyu jamaa ndio alimshinda Machemli)

Magu---CDM
KALWINZI NGONGOSEKE

Nyamagana---CDM
EZEKIA D. WENJE

Kwimba---CUF
JULIUS S OTTO

Sumve---CUF
RICHARD M NTUNDURU

Buchosa---CDM
MARTINE KASWAHILI

Sengerema--- CDM
FRANSISCO SHEYJAMABU

Ilemela---CDM
HIGHNESS KIWIA

Misungwi---CDM
LEONIDAS KONDELA

Hadi sasa Chadema/Ukawa ishapoteza majimbo 2 (Ilemela na Nyamagana)

Majimbo mengine matokeo bado...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom