Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Kama yanabandikwa? Wenje kakusanya matokeo kata zote na kashinda ccm wameyakataa matokeo na wameagiza box zote za kura zianze kuhesabiwa upya hii ni utaratibu wa wapi???

Najuta kupiga kura

Mkuu Wenje ndiye kataka lura zihesabuwe upya, alafu wakati wanatangaza matokeo ya udiwa CCM iliongoza yeye akasema hatishiki na hizo sasa huku kala mueleka anataka zirudiwe tena muache maana ndivo waliotaka hivo naye si alibadiri gia angani
 
mshindi nani?
 
Kwa taharifa yako ameshinda sasa, kura 4000 zilikuwa zimeibiwa watu tunapiga shangwe sasa ivi
 
mtoto wa maskini KAKA MARA YA MWISHO NILIONA AZAM TV WATU WACCM WAKISEREBUKA NA IKADAIWA WATU WA CHADEMA HAWAKUWEPO KABISA HAPO KWA MKURUGENZI NA CCM WAKIJINASIBU KUWA CHADEMA WAMESHAKUBALI KUSHINDWA. NA AZAM TV WAMERIPOTI HILI, HATA CHEKI HAPO JUU UTAONA MODS WAMEWEKA
Ilemela - Ndg. Angelina Mabula ametangazwa mshindi

DAAAH KAMA CHADEMA WAMESHINDA BASI NASHUKURU SANA IWE HIVYO PAMOJA NA UKEREWE,

NA NYAMAGANA vipi mkuu???

NB: KAKA EBU CHECK TENA HAPO ILEMELA=WENJE, CHECK AZAM MUDA HUUU INAONEKANA KUNA UBISHI... EBU CHEK AZAM NEWS MUDAA HUUU

We umeona katangazwa na mkurugenzi au habari za yeye kushindwa, kura zimerudiwa mara 4 kuhesabiwa na sasa kawa mshindi kwani waliiba kura 4000
 
Back
Top Bottom