Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia | Page 43 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JamiiForums, Oct 25, 2015.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot

  #1
  Oct 25, 2015
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,104
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

  Mkoa wa Mwanza una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:-


  Ilemela: Ndg. Angelina Mabula ametangazwa mshindi (CCM)

  Nyamagana: Stanslaus Mabula (CCM)

  Kwimba: Mansoor Hirani wa CCM

  Sumve: Richard Mganga Ndasa (CCM)

  Misungwi: Charles Kitwanga wa CCM

  Magu: Kiswaga Boniventura (CCM)

  Sengerema: William Ngeleja (CCM)

  Buchosa: John Tizeba (CCM)

  Ukerewe: Nicodemus Maganga (Chadema)

  ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. DE FULE

  DE FULE JF-Expert Member

  #841
  Oct 29, 2015
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 1,128
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Usiniambie
   
 3. DE FULE

  DE FULE JF-Expert Member

  #842
  Oct 29, 2015
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 1,128
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Usiniambie
   
 4. DE FULE

  DE FULE JF-Expert Member

  #843
  Oct 29, 2015
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 1,128
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Kweli eeh...
   
 5. Humble African

  Humble African JF-Expert Member

  #844
  Oct 29, 2015
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 4,419
  Likes Received: 10,015
  Trophy Points: 280
  Mwanza machale yalitucheza tukabadili gia angani kama mbowe. Ahahahah!!

  Siasa raha!

  Team nyumbu.
   
 6. 2

  2kimo JF-Expert Member

  #845
  Oct 29, 2015
  Joined: Jan 23, 2014
  Messages: 2,036
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Hii Mwanza mbona hakuna updates zozote za majimbo?
  Invincible vipi au umeamua kupotezeana?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. e

  eddy JF-Expert Member

  #846
  Oct 29, 2015
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 10,674
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  nadhani ni kati ya watu wanaoshikiliwa na kova, hata bujibuji hajaonekana kabisa.
   
 8. s

  shikulaushinye JF-Expert Member

  #847
  Oct 29, 2015
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 828
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60

  Mshukuru MUNGU serikali kuwapendelea kuwapa viongozi hasa mawaziri wa fedha, nishati na madini pia mawaziri wakuu. mwaka huu uwaziri mtausikia vijiweni. labda msubiri hisani ya mbunge wa kuteuliwa.
   
 9. lemayan92

  lemayan92 JF-Expert Member

  #848
  Oct 29, 2015
  Joined: Jul 30, 2015
  Messages: 864
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Naona unataka kuto.mb.wa endelea.
   
 10. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #849
  Oct 29, 2015
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 46,262
  Likes Received: 34,483
  Trophy Points: 280
  Kiwia hakuwatendea haki wananchi wao hayo ni madai yao hizo ni halali yake kuondoka, ila hapa kwetu nyamagana wenje wamemuibia tu
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #850
  Oct 29, 2015
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 13,096
  Likes Received: 6,891
  Trophy Points: 280
  Dah ...inauma sana kupoteza fursa ya kuitia adabu CCM kwa tamaa za shortcut za kwenda ikulu kupitia akina Sumaye ....
   
 12. ram

  ram JF-Expert Member

  #851
  Oct 29, 2015
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,705
  Likes Received: 1,410
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa hakuna namna kwa kiwia, kuondoka ilikuwa ni lazima..... Japo watu wanalalamika eti Mwanza ni wakabila, wamesahau ni wasukuma hao hao wa kayenze walimpa kura kiwia mwaka 2010, 2005 kura nyingi za Kikwete zilitoka Mwanza, leo tunaitwa wakabila(Kikwete, Kiwia, Wenje ni wasukuma hao?)
  Kwa wenje acha tusubiri tuone mahakama itaamua nini, kama kweli kaibiwa kitajulikana tu
   
 13. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #852
  Oct 30, 2015
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 14,442
  Likes Received: 2,532
  Trophy Points: 280
  Majimbo ndo nayazungumzia
   
 14. Emmanuel J. Buyamba

  Emmanuel J. Buyamba Verified User

  #853
  Oct 30, 2015
  Joined: May 24, 2013
  Messages: 813
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  Mods,huyo mbunge mteule wa ukerewe anaitwa joseph mkundi na si nicodemus maganga.
   
 15. jasson jaspa

  jasson jaspa Member

  #854
  Nov 7, 2015
  Joined: Aug 29, 2015
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni ukabila washenzi nyie kabisa maendeleo maendeleo gani
   
 16. C

  Chanyauru Senior Member

  #855
  Nov 11, 2017
  Joined: Jul 4, 2016
  Messages: 146
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 60
  wachaga ni machoko tu,ni wakabila sana
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...