Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Mabula wa ccm kura 81770 na wenje chadema kura 79810 ccm imechukua majimbo yote ilemela na nyamagana. Hayo ndio matokeo rasmi yakiyotangazwa.... Saa7 usiku huu
 
Vyama vya Ukawa kung'ang'ania jimbo moja imewagharimu sana...

Hadi sasa wanapoteza majimbo mawili kipumbavu pumbavu tu...

Na inachosikitisha ni hao watu wanaokosa kuingia bungeni ni watu makini, Mtatiro na Wenje

Duuu kwa kweli hata siamini nini kimetokea kwa wenje,

hinecy sawa huenda hakuwa makini sana jimboni hasa baada ya yale matatizo ya afya ya kupigwa mapanga 2011 pamoja na machemli... Lakini wenje hata sielewi wapi hakujipanga sawa jimboni

, lakini pia naona hapohapo pia alikuwepo mama/mdada wa cuf naye alikuwa anagombe, uzembe ule ule wa segerea kwa mtatiro umejitokeza na hapa nyamagana/,,,,,,,,
 
Vyama vya Ukawa kung'ang'ania jimbo moja imewagharimu sana...

Hadi sasa wanapoteza majimbo mawili kipumbavu pumbavu tu...

Na inachosikitisha ni hao watu wanaokosa kuingia bungeni ni watu makini, Mtatiro na Wenje
Hivi yule Machemli wa Ukerewe alikuwa anagombea?. Vipi kapita?.
 
Hahaaa....Sasa nani alikuwa anapeperusha bendera ya Chadema huko?. Vipi nao bado wanahakiki hesabu?.

Majimbo ya Mwanza yalikuwa hivi;

MWANZA
Ukerewe---CDM
JOSEPH MKUNDI (Huyu jamaa ndio alimshinda Machemli)

Magu---CDM
KALWINZI NGONGOSEKE

Nyamagana---CDM
EZEKIA D. WENJE

Kwimba---CUF
JULIUS S OTTO

Sumve---CUF
RICHARD M NTUNDURU

Buchosa---CDM
MARTINE KASWAHILI

Sengerema--- CDM
FRANSISCO SHEYJAMABU

Ilemela---CDM
HIGHNESS KIWIA

Misungwi---CDM
LEONIDAS KONDELA

Hadi sasa Chadema/Ukawa ishapoteza majimbo 2 (Ilemela na Nyamagana)

Majimbo mengine matokeo bado...
 
Back
Top Bottom