KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,558
- 1,928
Hii Serikali ya hapa kazi tuuu naona inaelekea kufeli vitu vingi. Nakuhakikishia katika mazingira kama haya Elimu inakufa rasmi.huyo bwam mdogo nadhani angekuwa anajiuguza muda huu,siku hizi hata serikali inawatetea ndomana unaona wamekuwa viburi
Yaani nidhamu ya wanafunzi ni sufuri kabisa siku hizi. Nashangaa Serikali hawataki kujifunza kwenye Seminari za katoliki. Siyo kwamba kule wanafundisha malaika la hasha. Kule nidhamu ndiyo key of the success, yaani hata mwanafunzi akisema "nyok.o" ni dismisal case,
Serikali ingejikita zaid katika kushape nidhamu za wanafunzi hata kwa kuomba mjadala wa wazi na walimu.
Kama wataendelea kushupaza shingo zao kwa kusahau kurejesha nidhamu kwa wanafunzi na kuboresha maslahi ya waalimu basi shingo zao zitavunjika na watatumbukia kwenye korongo na Tanzania ya Viwanda itabakia kwenye makaratasi.
KIDUDU