Mwanza: Mabomu ya machozi Shule ya Sekondari Mwanza

Mwanza: Mabomu ya machozi Shule ya Sekondari Mwanza

We ulikuwa lijinga sana kwenye join instruction ya shule uliambiwa ushone Modo? Ulikutana na mwalimu mchovu ndomana unajisifia ujinga
Hivi ninyi vialimu huwa mnamatatizo gani au stress za maisha halafu sikuishia hapo tu nilimtia mwanae mimba..

Sikia mpunguze vihelehele na walimu mtapigwa tu maana hakuna namna na Mimi nawaambia wanafunzi wawapige tu.

Hii JF mbona inatuletea shida hivi!! Halafu huyu naye anaitwa 'Expert Member'!
 
Kumchania kunampa sympathy fulani ... Mimi nimerithi Afro toka kwa wazazi, hivyo nywele zilikuwa zinaota kwa muda mfupi sana baada ya kunyoa.

Muda mwingine nikawa naliachia, hapo niko form 1. Mwalimu wa nidhamu akaniona na Afro one day akaninyoa huku pembeni kwa mkasi ikawa kama kiduku cha sasa, jioni nikarudi home mama akanipa pesa ya saluni.

Baada ya miezi michache kitu kikaota tena, mwalimu akaona nimemdharau ... This time akanyoa katikati akaacha za pembeni nikawa kama babu, halafu akaniambia nenda class. Nilichekwa sana siku ile.

Kuanzia siku hiyo zikiota kidogo, nazinyoa ... Mpaka nikamaliza na Div. 1 yangu, sikutaka shida na walimu. Sote tumepita huko, tunajua akili za kiuanafunzi zilivyo..!

[HASHTAG]#Waadabishwe[/HASHTAG], na hao waliofanya vurugu wafanye mtihani mwakani ... Watatia akili#
Ndugu tatizo watu wanachanganya ualimu na siasa za maji taka, hakuna mzazi wala mwalimu anaye furahia tabia ya kuto tii, na walio wengi hawajui kiwa kuna waraka wa mavazi mashuleni
 
Hii JF mbona inatuletea shida hivi!! Halafu huyu naye anaitwa 'Expert Member'!
Ndo ushangae wadogo zako hawa..mi JF siwalaumu mana wao kwa sasa wanajali pesa kutokana na viewers wanavyoongezeka hivyo hata mtu akiongea utumbo wanaona sawa tu
 
Limenidhi hilo sjui lidada au libibi,nikajikuta naandika kwa hasira,sipendagi ujinga mie
Wewe ndio bibi maana una
Je mwalimu alikiwa na ulazima Wa kumchania modo yake.... Usikute mwalimu mwenyewe ana diploma ya ualimu tu....
ninyi wote ni wajinga halafu mnajifanya wajuaji hamuelewi mnacho kijadili mwalimu ni mwalimu hata kama ana cheti nayo ni elimu stahiki kwa kazi stahiki wajinga na malimbukeni ndio hufikiri kama ufikiriavyo wewe nawadharau sana watu wenye mawazo mepesi kama ninyi maana kila jambo gumu mnalitafutia majibu mepesi bila tafakuri makini ,nidhamu shuleni ni jukumu la mwalimu kusimamia na si vinginevyo , haya ni madhara ya vijitu visivyo na elimu kama ninyi kuvamia jukwaa la GTs
 
Habari za mchana wakuu...

Kulikuwa na mabomu yakirindima katika shule ya Mwanza Sekondari mchana huu...

Je kunani hapo? Mlioko mjini mtujuze, mie leo sijakanyaga mjini napalilia kabustani kangu ka mboga mboga.

Wapi mkuu Tutor, Marire na wengineo
Watakuwa ni waalimu wameanza maandamano ya kudai Laptops zao walizoahidiwa na mzee wao kipindi cha Kampeni.![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wengine walishanunua na vibegi vya kubebea Laptop pamoja na Moderm..![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Je alipaswa kumchania mwanafunzi hiyo modo????

Ye ameumia nini mwanafunzi kuvaa modo???

Siku nyingine hawa walimu wawe na Adabu.
,,,niliwahi kumkaba mwalimu siku moja nilimpiga kichwa japo nilifukuzwa shule...
Lakini mwalimu yule bado ana kidiploma namzidi hela na Elimu
Hongera ila yatakukuta uzeeni
 
Watakuwa ni waalimu wameanza maandamano ya kudai Laptops zao walizoahidiwa na mzee wao kipindi cha Kampeni.![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wengine walishanunua na vibegi vya kubebea Laptop pamoja na Moderm..![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Maadili ya mwanafunzi ni pamoja na kukamilisha sheria zote za shule na swala la mavazi pia likiwemo
 
Ndo ushangae wadogo zako hawa..mi JF siwalaumu mana wao kwa sasa wanajali pesa kutokana na viewers wanavyoongezeka hivyo hata mtu akiongea utumbo wanaona sawa tu

Mkuu post zingine zinatia ukakasi, sometimes unaona hata aibu kujulukana kama unachangiaga huku tokana na baadhi ya poasts- huko tulikotoka ilikuwa ni ujiko kuwa member huku!!
 
Enzi hizo ilikuwa lazima JKT kabla ya kuwa mwalimu. Katika mtafaruku kama huu ngumi zilikuwa zinapigwa mpaka wanafunzi wanakimbia. Siku hizi imekuwa kinyume
 
Hivi ninyi vialimu huwa mnamatatizo gani au stress za maisha halafu sikuishia hapo tu nilimtia mwanae mimba..

Sikia mpunguze vihelehele na walimu mtapigwa tu maana hakuna namna na Mimi nawaambia wanafunzi wawapige tu.
Elimu ya mtu haipimwi kwa cheti bali kwa yale yamtokayo kinywani mwake ,wewe huna elimu yeyote ndugu wala usitudanganye humu eti una elimu ,kwa akili zako fyatu hizi labda kama ulifoji vyeti maana mawazo uliyo nayo hayawezi kutoka kwenye kinywa cha mtu hata aliye dika fm4 ya dv.0 wewe ni zaid ya mjinga na sitafuta hii kauli wala kuomba radhi,na nina sisitiza tena WEWE HUJASOMA NA HUNA ELIMU YEYOTE UNGA MJINGA NA UJINGA UNAO BADO.
 
Mkuu post zingine zinatia ukakasi, sometimes unaona hata aibu kujulukana kama unachangiaga huku tokana na baadhi ya poasts- huko tulikotoka ilikuwa ni ujiko kuwa member huku!!
Kabisa,ila siku hizi imekuwa kawaida
 
Enzi hizo ilikuwa lazima JKT kabla ya kuwa mwalimu. Katika mtafaruku kama huu ngumi zilikuwa zinapigwa mpaka wanafunzi wanakimbia. Siku hizi imekuwa kinyume
huyo bwam mdogo nadhani angekuwa anajiuguza muda huu,siku hizi hata serikali inawatetea ndomana unaona wamekuwa viburi
 
Je mwalimu alikiwa na ulazima Wa kumchania modo yake.... Usikute mwalimu mwenyewe ana diploma ya ualimu tu....
Nadhani hilo nimesha kujibu una hitaji kuelimika ndugu maswala ya kulingia elimu mnona yalishayalisha pitwa na wakati?? Bado una kaulimbukeni ndugu jitahidi kubadilika ki fikra MTETEZI WA CHAMA .
 
Chanzo mwanafunzi kavaa modo...
Mwalimu kaikata....So
Mwanafunzi akaanza kumshambulia mwalim...ugomvi umekuwa mkubwa hadi polisi wakaitwa
Walimu katika kumsaidia mwenzao, wanafunzi nao wakaingia kumtetea.
 
Hawa wanafunzi wa sikuhizi shida sana. Nidhamu hamna. Nakumbuka enzi hizo sisi ukivaa kiatu kisichoruhusiwa unapokonywa kimoja. Hakuna vurumai kesho nidhamu kama kawaida.
Nadhani ile case ya Mbeya day imeathiri, yule mwanafunzi walivyompotray kama ameonewa sana ndio imewavimbisha vichwa hawa wanafunzi.
Hii haikubaliki kabisa.
Tatizo sio wanafunzi hata walimu wenyewe wanavaa modo we unategemea nini? Hapa serikali inatakiwa kudeal na wote maana si wanafunzi wala walimu wote hali moja
 
Hawa maticha nao [HASHTAG]#machoko[/HASHTAG] tu, kwan modo ndo inasoma,,, walim huw wanamind vtu vdgo sana ambvy havina maan hapo ukute dgo kamchkua dem wa ticha ndo maan
 
Back
Top Bottom