Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Ukute mwanafunz alijua atachapwa yataisha,sasa kumktatia modo yake tena lazima iwe balaa..serkali haitoi matamko tenakaikata kwenye magoti...km kaptula hivi.
Mwanafunzi alikuwa ameivaa ,,hajaivua.
Sema hasira zimempanda baada ya mwalimu kumaliza zoezi lake ...
Afu sio yeye pekee alokatiwa...ni wengi