CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Chanzo mwanafunzi kavaa modo...
Duh!Chanzo mwanafunzi kavaa modo...
Mwalimu kaikata....So
Mwanafunzi akaanza kumshambulia mwalim...ugomvi umekuwa mkubwa hadi polisi wakaitwa
Mwanafunzi mwenyewe form four...anaanza mtihani j3Duh!
Kipindi muhimu kama hichi ambacho unakaribia kwenye mtihani unatakiwa uwe na nidhamu ya hali ya Juu. Anyway,mtihani Jumanne siyo Jumatatu!Mwanafunzi mwenyewe form four...anaanza mtihani j3
Hawa wanafunzi wa sikuhizi shida sana. Nidhamu hamna. Nakumbuka enzi hizo sisi ukivaa kiatu kisichoruhusiwa unapokonywa kimoja. Hakuna vurumai kesho nidhamu kama kawaida.Mwanafunzi mwenyewe form four...anaanza mtihani j3
Chanzo mwanafunzi kavaa modo...
Mwalimu kaikata....So
Mwanafunzi akaanza kumshambulia mwalim...ugomvi umekuwa mkubwa hadi polisi wakaitwa
tukiwa bwaloni tukiosha madawati, (sekondari mojawapo kati ya 2 zilizokumbwa na madhara makubwa ya tetemeko) classmates 5 walikamatwa 'wanakula bhange' siku moja kabla ya mtihani. so sadKipindi muhimu kama hichi ambacho unakaribia kwenye mtihani unatakiwa uwe na nidhamu ya hali ya Juu. Anyway,mtihani Jumanne siyo Jumatatu!
kaikata kwenye magoti...km kaptula hivi.Je, tunaambiwa kuwa mwanafunzi kavaa modo kisha mwalimum akaikata. je mwanafunzi alibaki uchi???????
Au aliivua ndipo akaikata?????
Huwa wanaichana kuanzia magotini kuelekea chini! Hivyo hakubaki uchiJe, tunaambiwa kuwa mwanafunzi kavaa modo kisha mwalimum akaikata. je mwanafunzi alibaki uchi???????
Au aliivua ndipo akaikata?????
UMEJUAJE
Ipo kwa wapi niende nkacheki! Nielekeze