Mwanza: Mabomu ya machozi Shule ya Sekondari Mwanza

Itakuwa walimu wa field wanatulizwa baada ya kupandisha hasira
 
Wapi majura, kinshuli, bashange, mafuru, marwa lucas, marwa gekondo, muganda , mugyabuso, oscar ,, kayungiro, vick makundi, vick chagura, togorai,
 
Kizazi mtambuka hiki ni kazi kweli kukilea....sasa wanavaa "modo" shuleni wakati amebakiza siku chache kumaliza shule ili iweje ?? wameshindwa kusubiri hizo siku chache wakavaa huko mtaani waendako? Tunahitaji nusra ya M/Mungu kwa kweli...
 
Je alipaswa kumchania mwanafunzi hiyo modo????

Ye ameumia nini mwanafunzi kuvaa modo???

Siku nyingine hawa walimu wawe na Adabu.
,,,niliwahi kumkaba mwalimu siku moja nilimpiga kichwa japo nilifukuzwa shule...
Lakini mwalimu yule bado ana kidiploma namzidi hela na Elimu
 
We ulikuwa lijinga sana kwenye join instruction ya shule uliambiwa ushone Modo? Ulikutana na mwalimu mchovu ndomana unajisifia ujinga
 
Unamzidi elimu ila elimu yako haijakusaidia! Wapo wenye degree wapumbavu na wavuta bangi. Hivyo hilo si lajujivunia!
 
Join instructions za shule zinamtaka mwanafunzi ashone suruali ya kawaida isiwe modo,iwe na rinda/mikunjo miwili juu,viatu vya kamba sasa mwanafunzi unaenda shule umevaa kibongo fleva..yani huyo dogo ilibidi arudi na boksa siyo kuchana usawa wa magoti
 
We ulikuwa lijinga sana kwenye join instruction ya shule uliambiwa ushone Modo? Ulikutana na mwalimu mchovu ndomana unajisifia ujinga
Hivi ninyi vialimu huwa mnamatatizo gani au stress za maisha halafu sikuishia hapo tu nilimtia mwanae mimba..

Sikia mpunguze vihelehele na walimu mtapigwa tu maana hakuna namna na Mimi nawaambia wanafunzi wawapige tu.
 
Je alipaswa kumchania mwanafunzi hiyo modo????

Ye ameumia nini mwanafunzi kuvaa modo???

Siku nyingine hawa walimu wawe na Adabu.
,,,niliwahi kumkaba mwalimu siku moja nilimpiga kichwa japo nilifukuzwa shule...
Lakini mwalimu yule bado ana kidiploma namzidi hela na Elimu
Ulifeli lakin
 
Unamzidi elimu ila elimu yako haijakusaidia! Wapo wenye degree wapumbavu na wavuta bangi. Hivyo hilo si lajujivunia!
Mi sina elimu ndogo ya degree.....yaani walimu bwana we unaona degree nayo ni Elimu.
 
Je alipaswa kumchania mwanafunzi hiyo modo????

Ye ameumia nini mwanafunzi kuvaa modo???

Siku nyingine hawa walimu wawe na Adabu.
,,,niliwahi kumkaba mwalimu siku moja nilimpiga kichwa japo nilifukuzwa shule...
Lakini mwalimu yule bado ana kidiploma namzidi hela na Elimu
Modo angeenda kuvalia huko mtaani kwao na alipaswa kuichana tuu
 
Je alipaswa kumchania mwanafunzi hiyo modo????

Ye ameumia nini mwanafunzi kuvaa modo???

Siku nyingine hawa walimu wawe na Adabu.
,,,niliwahi kumkaba mwalimu siku moja nilimpiga kichwa japo nilifukuzwa shule...
Lakini mwalimu yule bado ana kidiploma namzidi hela na Elimu
WHAT GOES AROUND COMES AROUND...
 
Hivi ninyi vialimu huwa mnamatatizo gani au stress za maisha halafu sikuishia hapo tu nilimtia mwanae mimba..

Sikia mpunguze vihelehele na walimu mtapigwa tu maana hakuna namna na Mimi nawaambia wanafunzi wawapige tu.
Ulimtia mimba"! Yamekuwa majani ya chai au sukari unatia tu? Ndiyo nyinyi mnawafundisha hata wadogo zenu wawe wanywa viroba na wapigane na walimu wao,sipati picha mwanao utamlea katka mazingira gani
 
Natamani kurudi darasani leo haswa kipindi hiki cha JPM. Waalim wangejifunza heshima kwangu. Modo na kichwani kwangu wapi na wapi? Kama hayo mabomu yamewakosa wapinzani wa kumwagiwa basi yatumike kuwathibiti hao waalim kabla hayaja expire.
 
Jana nilishuhudia mwenyewe mwanafunzi wa form four shule mmoja hiv,mwanafunzi kawapora form pesa akaitwa ofisini,akakataa,baadae akakubl na kurudisha pesa huku akitoa matusi na kutaka atoke nje kwa nguvu .walimu wakatumia busara na kumwacha akatoka nje na kuendele kuonyesha ubabe
 
Back
Top Bottom