Mwanza: Mabomu ya machozi Shule ya Sekondari Mwanza

Mwanza: Mabomu ya machozi Shule ya Sekondari Mwanza

We nawe unaandika bila kufikiria. We hujiulizi kwanini jeshi la polisi litumie mabomu ya machozi?. Sasa mwalimu mmoja angeweza vipi kupambana na wanafunzi wote. Mwanza sec unaifahamu au unajiandikia tu. Siku nyingine tumia akili, umejinadi kuwa we ni msomi sana sasa sijui umesomea wapi shule yako maana hata jambo dogo unashindwa kulieewa. Kifupi we siyo msomi ni mhuni kama wahuni wengine.
Malizia hivi Mimi ni muhuni niliyesoma.
 
Wapi matamko kama ilivyokuwa Mbeya?

Waalimu nao wanakosa busara, kuchana suruali sio adhabu inayositahili, au kumwekea alama ya X kichwani eti kisa nywele ndefu sio adhabu inayostahili. Si vizuri kufanya kazi kwa kuongozwa na emotional intelligence. Ni wakati wa kubadilika. Let you open your package of knowledge and skills of an effective teacher
 
Waalimu nao wanakosa busara, kuchana suruali sio adhabu inayositahili, au kumwekea alama ya X kichwani eti kisa nywele ndefu sio adhabu inayostahili. Si vizuri kufanya kazi kwa kuongozwa na emotional intelligence.

Ukifuatilia utakuta na waalimu wenyewe mavazi yao sio ya haiba ya ualimu.

Ni wakati wa kubadilika. Let you open your package of knowledge and skills of an effective teacher
 
Natamani kurudi darasani leo haswa kipindi hiki cha JPM. Waalim wangejifunza heshima kwangu. Modo na kichwani kwangu wapi na wapi? Kama hayo mabomu yamewakosa wapinzani wa kumwagiwa basi yatumike kuwathibiti hao waalim kabla hayaja expire.

Sawa kabisa Mkuu! Sheria za shule zipo. Kosa la Wizi mwanafunzi anafukuzwa shule. Si kupigana mangumi na wanafunzi. Wakipigwa makofi na ngumi kisha wakaachiwa kuendelea na shule baadhi yao ndio hugeuka na kuwa mafisadi wazuri. Baadae tunalalamika juu ya ufisadi
 
Je alipaswa kumchania mwanafunzi hiyo modo????

Ye ameumia nini mwanafunzi kuvaa modo???

Siku nyingine hawa walimu wawe na Adabu.
,,,niliwahi kumkaba mwalimu siku moja nilimpiga kichwa japo nilifukuzwa shule...
Lakini mwalimu yule bado ana kidiploma namzidi hela na Elimu
ni hasara taifa kuwa na watu wa aina yako
 
Back
Top Bottom