Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani yakamilika, Magari ya Matangazo yaingia Barabarani

Issue ya umeme naongea through experience.Nimesikia watu wa maeneo tofauti tofauti wakimind sana tena sana juu ya upatikanaji wa umeme.Umeme umekuwa DHAHABU kwa masikini asiye na uwezo wa kununua solar wala Generator.
Imefika hiyo mkuu
 
Mkuu, si tuna msiba wa kuondokewa na mgombea wetu wa urais 2015, hatuwezi kuahirisha maandamano ili yawe baada ya mazishi na maombolezo?
Au tumeshatupa jongoo na mti wake kabisa, japo alitupatia kura nyingi zaidi kuliko wagombea wetu wengine?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni

View attachment 2903361
Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa


Mungu Ibariki CHADEMA



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, si tuna msiba wa kuondokewa na mgombea wetu wa urais 2015, hatuwezi kuahirisha maandamano ili yawe baada ya mazishi na maombolezo?
Au tumeshatupa jongoo na mti wake kabisa, japo alitupatia kura nyingi zaidi kuliko wagombea wetu wengine?
Maandamano haya ni ya Mungu , na Msiba ni wa Mungu , acha mambo ya Mungu yaende pamoja , kwa waislam siku iliyopangwa kufunga ndoa , hata akifa Mama Mkwe au Baba Mkwe haiwezi kuzuia ndoa kufungwa , tena kwenye nyumba hiyo hiyo yenye msiba , hii ni kwa vile Msiba ni wa Mungu na ndoa ni ya Mungu
 
Kila nikitafakari hali ya ujinga wa watanganyika nakata tamaa,ila ni mpango wa watawala kuendelea kuwafanya watu kua wajinga ili waendelee kutawala.Imagine leo Makonda anaonekana wa maana akipita huko kwenye ziara zake kisa mifumo mibovu iliyowekwa na watawala.Hii vita Mungu tu ndio aiingilie kati
 
Usimuhusishe Mungu na vitu vya kipumbavu we mtu vp,Mungu anaandamana kwenda wapi?
Kutafuta nini?
Boya kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…