Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Hapo rwagasore na kaluta kuna watu wa hardware wanaghorofa zaidi ya 2...zongi anajipenda toka anaanza biashara yake,..hapo wako wengi wenye maghorofa vijana,kuna mwita,lee kweka,john texas na wengineo
Texas pia ana ghorofa rwagasore, ni lipi bro. Yap Zongii anajipenda sema alivyoshusha zile ghorofa mbili nilikubali jamaa ana zaid ya ambition sana !!!
 
Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?

Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa

Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
mkuu ukisema kwa vijana takuelewa
 
Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?

Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa

Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
Hizi ndizo mada wanazoziweza masikini.

Ukitaka kujua habari ya tajiri basi muulize masikini .

Vijana hamtaki kufanya kazi mnakaa vijiweni kubishana kuhusu nani ana hela.

Shtuka kijana umri unakutupa mkono hata bibi naye alikuwa binti shauri zako usiseme hatukukwambia.
 
Back
Top Bottom