Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Watoto wa mjini wanasema huyo kijana mjaluo ni front man wa Raila Odinga , kwamba ni money launderer wa Raila Odinga
Kwa utajiri wa raila huo sio uwekezaji kwake...hizo ni story wala hamjui raila,zongi ameanza biashara ya duka mwaka 2009 hapo pembeni ya GJ hotel...ni mpambanaji wa kawaida
 
Unaekuja ku comment wewe ni very perfect idiot ungeonekana wa maana unge ignore
nawezaje kuku ignore mpumbavu kama wewe? nakushauri achakutwa nzima ni kusufia wanaume wenzako.Nyie ndio mnaharibu jf badala ya kuwa platform ya kuthink,mnaanza kuleta stori za vijiwe vya wavuta bangi humumNext time tuambie anakula nini na kitanda chake kikoje
 
nawezaje kuku ignore mpumbavu kama wewe? nakushauri achakutwa nzima ni kusufia wanaume wenzako.Nyie ndio mnaharibu jf badala ya kuwa platform ya kuthink,mnaanza kulera stori za vijiwe vya wavuta bangi humumNext time tuambia anakula nini na kitanda chake kikoje
Majukwaa ni mengi jobless ukiwa na hasira ndiyo hutapata kazi kamwe mkuu kunjua nafsi tu

Acha kushinda una comments kitu usichokipenda jikite majukwaa mengine

Kunywa maji mengi

Anyway zongii anaweza kuununua ukoo wenu wote
 
Kama hujanielewa basi,
 
Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?

Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa

Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
🤣🤣😂Tulia wewe,mwanza matajiri tuko wengi, saivi tuko the cask tunachoma mbuzi na satooi,hatuna mbambamba🤣🤣😂
 
Majukwaa ni mengi jobless ukiwa na hasira ndiyo hutapata kazi kamwe mkuu kunjua nafsi tu

Acha kushinda una comments kitu usichokipenda jikite majukwaa mengine

Kunywa maji mengi

Anyway zongii anaweza kuununua ukoo wenu wote
anawanunua wewe unayemsifia mwanaume mwenzako,uatakununua wewe na Dada zako,usha ona nashobokea kusfia wanaume humu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Tulia wewe,mwanza matajiri tuko wengi, saivi tuko the cask tunachoma mbuzi na satooi,hatuna mbambamba[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Tajiri nani we mke wa zongii sio
 
Back
Top Bottom