GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,861
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hujaelewa, mtoa mada kasema TAJIRI MKUU WA MATAJIRI amenunua jangwa lote la Sahara.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hujaelewa, mtoa mada kasema TAJIRI MKUU WA MATAJIRI amenunua jangwa lote la Sahara.
Umelogwa Si bure wew Mali ya zongii yoote haifikii thaman Nyerere road plza je uwanja wa Tanganyika thaman yak Ni Zaidi ya billion 10 sas zongii anamali hiyooSio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?
Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa
Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
Ni kweli Zongii ni tajiri, tena ana "roho" nzuri. Anapenda kusaidia wengine, hasa wahitaji. Nawafahamu watu kadhaa walionufaika na misaada yake.Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?
Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa
Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
UongoUtajiri wa mtu unatakiwa uonekane rohoni mwa wengine,Sasa unaleta swagwa za tajiri kisa ana Magari mengi labda na majumba na anatembelea gari kari.Huu upumbavu
Hapana kauliza nani anaemzidi utajir, taja wako na vitu anavyomiliki huyo wako.Kwaiyo mwanza ukiwa na jengo karibu na ziwa Victoria ushakuwa tajiri Kanda ya ziwa yote?
Kumbe ndo huyo jmaa ana kiwanda cha jambo food kile kilichopo shinyanga?Ana kiwanda kama Cha jambo food Shinyanga aka Azam wa usukumani hadi useme Kanda ya ziwa yote