Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Kama atambuliki na jarida la Forbes huyo Bado ni kapuku tu kwenye list ya matajiri
 
Hizi ndizo mada wanazoziweza masikini.

Ukitaka kujua habari ya tajiri basi muulize masikini .

Vijana hamtaki kufanya kazi mnakaa vijiweni kubishana kuhusu nani ana hela.

Shtuka kijana umri unakutupa mkono hata bibi naye alikuwa binti shauri zako usiseme hatukukwambia.
Umefuata nini sasa umu
 
Bora huyo kaleta hizo stori zinaamsha watu kupambana! Wewe mtoto wa kiume unaeleta story za madada poa, mashoga, umbea wa mjini wote unaujua..
Topic kama hizo uwe unakausha! Subiri topic zako!
Embu tupe habari za Mwijaku kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uyo ni key kubwa kabisa
 
Back
Top Bottom