Sina hakika kama upo sahihi ila jamaa kuhusu pesa, achana na majengo taja nani anamzidi.Umelogwa Si bure wew Mali ya zongii yoote haifikii thaman Nyerere road plza je uwanja wa Tanganyika thaman yak Ni Zaidi ya billion 10 sas zongii anamali hiyoo
Kaka tuombe msamaha tuliosoma shule za kata,mbona hatuhusiani na ushamba wa mwenye postuna utoto mwingi sana bila shaka wewe ni wale wa shule za kata make wengi ndio wanaakili kama hizi
Kabisa masterAmekosa tu tunguli ila uyu ni mchawi
Hapana jambo ni waarabuKumbe ndo huyo jmaa ana kiwanda cha jambo food kile kilichopo shinyanga?
Jamaa banaKipimo cha utajiri ni kipi?
Hongera! Mpaka sasa una "b" ngapi benki?Mimi ndio zongii , mbona hata sina pesa nyingi kababuu.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Utani tu😁😁Hongera! Mpaka sasa una "b" ngapi benki?
Ushamba ni kukoncetrate na Mali za mwanaume mwenzangu badala ya kutafuta zanguUshamba ni upi hapo?
unavijuwa viwanda? taja kiwanda anacho milikiAna viwanda mkuu
hii ni ID ya 3,Masikini naona povu tayari tafuteni hela sio kila tajiri akisemwa humu mnaanza kumponda