Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
7,627
9,321
Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?

Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa

Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
 
Kwa hiyo hapo Sahara yupo peke yake tu hakuna mwingine aliyejenga? Kiwanda cha plastic ni yeye tu pekee anayemiliki Mwanza? Gari za kimarekani ndio kipimo?

Acha ligi za kijinga. Zongii Yupo vizuri na Mungu azidi kumbariki. Ila sio sahihi kutaka kumpa ligi za pesa na watu wengine.
 
Kwa hiyo hapo sahara yupo peke yake tu hakuna mwingine aliyejenga? Kiwanda cha plastic ni yeye tu pekee anayemiliki mwanza? Gari za kimarekani ndio kipimo? Acha ligi za kijinga. Zongii Yupo vizuri na Mungu azidi kumbariki. Ila sio sahihi kutaka kumpa ligi za pesa na watu wengine.
Hujaelewa, mtoa mada kasema TAJIRI MKUU WA MATAJIRI amenunua jangwa lote la Sahara.
 
Back
Top Bottom